Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

FOREX TRADING SHORT COURSE Petram Corporation inakuletea course fupi ya Forex Trading. Jifunze namna ya ku trade fedha za kigeni mtandaoni. Jenga kipato cha pili na rahisi. Training contents...
11 Reactions
164 Replies
58K Views
Habari za wakati huu wakuu? Nimeshangazwa kidogo na jambo nililolishuhudia leo kutoka kwa hawa watendaji wa TRA,nimeamua kuja hapa ili niweze kupata ufafanuzi ikiwa ni sahihi ama laa! Hawa jamaa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wawekezaji wanauza kwa wingi hisa zao kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kutokana na mabadiliko ya bei ambayo hayatabiriki, na hivyo kuhatarisha uwekezaji wao. Wawekezaji kutoka Benki ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi there, GT Ninataka kuanza biashara ya kuagiza vitu mtandaoni kutoka nchi za ng'ambo kwa kutumia online markets kama vile eBay, Amazon na Alibaba. Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nina certficate ya planing management natafu mdhamini katika biashara ya uuzaji wa vyakula aina zote,nataaluma ya kupika vyakula aina yote na nina uwezo wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini zenu wakuu! Naomba mnisaidie njia rahisi ya kuwanunulia wateja vifurushi Kama Cheka zogo kwa haraka. Mimi huwa mteja akihitaji kifurushi naanza kukwangua vocha na kuingiza kwenye simu...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Mwenye uelewa mzuri wa busta kwa ajili ya music ninamziki lakini sina busta, na nimeshauliwa nitafute busta ili mziki uwe vizuri. Tafadhali nawasilisha
1 Reactions
27 Replies
19K Views
Wadau nimekuja hapa kwenu JF najua hamna kinachoharibika maana meng hutatutuliwa humu nahitaji kufungua library ya kukodisha mikanda ila nahitaji iwe ya kisheria zaid nauliza kunataratibu zozote...
0 Reactions
44 Replies
62K Views
kenya nasikia kuna masoko yenye vitu vya mitumba kama viatu,mabegi na mikansa ya kiunoni,ni vizuri mno,kama kuna mdau yuko humu analijua soko hilo anielekeze
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari bosses! Leo napenda ni-share na wajasiriamali wenzangu MBINU chache zitakazo saidia kufahamu Kwanini idea yako ya biashara HAITAFANIKIWA. Nimeona niliweke hili kinamna hii kwasababu watu...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Brad Gordon, a former chief executive of Acacia Mining agreed that the Mining Development Agreement with Tanzania were bogus. Gordon was quoted by Telegraph Saying this: “The industry can be...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Tanzania recycled Oil zimezagaa kila pahali,matumizi na maelekezo yasiyo sahihi ya vilainishi yanayofanywa na mafundi garage na wenye maduka ya oil yanachangia kuua magari na vipuri Hii inatokana...
9 Reactions
59 Replies
20K Views
ndugu zangu wanaJF salamu, JAMANI MIMI NA WENZANGU WATATU TUNA ENEO LETU AMBAPO KUNA MWAMBA AMBAO UNATOA DHAHABU KATIKA KIWANGO KIZURI LAKINI KUTOKANA NA KUKOSA VITENDEA KAZI VYA KISASA...
6 Reactions
92 Replies
12K Views
Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimefikiria kusomea mambo ya makeup artist hv basi pamoja na kipato kua cha chini nimeleta Uzi huu kwenu wana jukwaa mnisaidie laki NNE ya ada...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
kwa anaejua nchini Tanzania naweza ziuza wapi na bei zake zikoje..nimezidaka mahali flani nje ya Tz mwenye kujua soko japo najua hatari
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za wkend wakuu Mda umefika wa mimi ku own kampuni yangu sasa,nimekaa nimejitahidi kuangalia ideas mbali mbali ila nikaona hii ya video shooting/editing itanifaa zaidi kwa sababu pia ina...
1 Reactions
27 Replies
9K Views
Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017 21 Machi 2017 Image copyright BBC Image caption Mtu tajiri barani Afrika kuinunua Arsenal Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote bado ndiye...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Korosho ya bongo ni first class dunian,hata hao wahindi wananunua bongo then wana process wanauza nje,pia wa vietnam,wamarekan na wazungu wengne korosho wanainunua hapa bongo. Minada inaanza...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Naomba kwa mtu yoyote anayejuwa jinsi ya kuleta vitu vya used kutoka USA na UK na kuileta huku Tz. Iwe company or mtu binafsi anayesafirisha yoyote ile. Nimekuwa naona vitu vingi...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau wanaojua mambo ya kununua vitu online wanisaidie je hapo bei ya hizi bidhaa ni yepi maana inavyoandikwa kama hivi inanichanganya $500.000-1000.000 Nipeni uchambuzi na je nikiagiza bidhaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom