Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu wa JF ! Anyone been to Mozambique ? Share your experience, hasa kwenye mambo za business kama umifunguwa duka or biashara namna ipi zina faa ! suggest and share !
0 Reactions
148 Replies
28K Views
Habari wadau nilikua naomba msaada wenu kwa yeyote anaetumia paypal ningependa anisaidie kuyafaham yafuatayo tukiachana na jinsi yakufungua account nilitaka kufaham je inawezekana kutumia paypal...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Unaweza kucheza na Tume ya uchaguzi, chezea matokeo na kila kitu...Hapa CHezea Economy Economy ni mambo ingine Ngoma inogile na Time will tell.... Hakuna propaganda kwenye uchumi
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Chochote utakacho kielewa kwenye hii picha naomba unielezee
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Hii biashara siyo ya kuwekea masihara kabisa unaweza kufanikiwa kirahis xana japo kuna watu wanaweka mzaha na kuidharau Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
13K Views
Naandika ikiwa ni kuelezea masikitiko yangu dhidi ya ununuzi wa korosho kwa mwaka 2018/19. Juzi tumetangatiwa kwamba kampuni ya Kenya itanunua tani laki moja ya korosho kwa shilingi bilioni 418...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA ILIYOWEKWA ILI KUFIKIA UCHUMI WA KATI IFIKAPO 2025 Serikali ya Rais John Magufuli imeanzisha Miradi ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata uchumi wa...
6 Reactions
7 Replies
6K Views
Kuna Kabiashara kadogo nataka kukaanzisha, lakini kutokana na usumbufu wa TRA kwasasa,je naweza kuwafuata nikawaomba japo miezi 6 kisha ndio nianze kulipia? Kwa hali ya TRA ya sasa wamekuwa kama...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF; Sisi tuna-own Kampuni inayojshughulisha na Secretarial Services, Printing (Cards, Posters, Business Cards, Invitation Cards, Fliers etc). Tunazamia ku-expand business ili tufungue small...
2 Reactions
131 Replies
56K Views
Habari za Mchana huu waungwana. Niende moja kwa moja kwenye mada iliyobeba kichwa cha habari hapo juu. Kukotokana na kukithiri kwa wizi wa mtandao kupitia simu za Mkononi ni wakati mwafaka kwa...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Wakuu hamjambo, nmepita maeneo fulani hivi katika matembezi, nimeona mwamba huu wa rangi kama nyeusi hivi; ikabidi nilichukue kwa uchunguzi zaidi, test ya kwanza nimefanya kwenye sumaku na...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Unawezaji kupunguza woga wa kushindwa katika biashara? Wasi wasi wakushindwa umetuzuia hatakuanza, na tumekuwa tukishindwa hata kabla ya kuanza, yaani kabla mtuhajafikilia kuanzisha biashara...
13 Reactions
35 Replies
9K Views
Nimekutana na watu kadhaa wanao anza biashara au miradi, haswa waajiriwa wanao taka kuongeza kipato nje ya ajira zao, wakikata tamaa na kuachana na hab ari ya miradi pale zinapo ibuka changamoto...
13 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Kuna idea ninayo sasa itanilazimu kuanzisha kampuni, nimepanga kwanza ntaiendesha kama kampuni ndogo na nafikiri ntaanza na kama waajiriwa wawili au watatu. Ila sasa kuna kitu...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. Hayo yametanabaishwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika Biashara kuna faida serikali ikamiliki hisa 100% au Serikali iuze shares at least by 20%? Serikali ibaki na 80% na public (watanzania) wanunue 20% Mimi naona wananchi wakinunua share...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ndugu, mimi ni kijana mjasiriamali nipo Nzega-Tabora, nauza karoti kwa rejareja na jumla, pia nasambaza kwa wauzaji wa masoko mengine kama kahama, Igunga, Tabora mjini. Nifanyeje ili niweze...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ELIMU YA UJASIRIAMALI: KUELEKEA KWENYE MAENDELEO ENDELEVU TANZANIA Baika – Mr. (March 2018) 1.0. Utangulizi U limwengu unabadilika kwa kasi kubwa. Kwa hakika jamii yoyote ambayo haijajiandaa...
3 Reactions
17 Replies
13K Views
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka china kupitia alibaba express Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom