Nini gharama za kuingiza gari Tanzania iliyo na namba za Zambia au Malawi ?

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,812
Wakuu habari za jioni, nimepata gari huku Malawi kwa bei ya kutupa ni rahisi nikionanisha na bei za nyumbani Tanzania.
Nataka kuinunua ina namba za usajili za hapa Malawi je itanigharimu kiasi gani kama ushuru..? Au kodi.
Naomba uzoefu kwa mlio wahi nunua gari kwa Nchi hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukija nayo huku unaiendesha, utapewa kibali cha kukaa nayo nchini kwa miezi mitatu. Ila unaweza kuomba ukaongezewa ikawa sita...
Sidhani kama gari iliyonunuliwa kwenye hizi nchi zinazotuzunguka kama itatakiwa kulipiwa import duty na VAT... Sina uhakika na hilo.
Kwa uhakika zaidi, ingia kwenye website ya TRA chukua namba zao za simu uwapigie wakueleweshe.
 
Ahsante mkuu.! Baada ya miezi sita naweza ruhusiwa kuisajili hapo nyumbani?
Samahani kwa maswali mengi sina namba ya mtu wa TRA kumuulizia haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu.! Baada ya miezi sita naweza ruhusiwa kuisajili hapo nyumbani?
Samahani kwa maswali mengi sina namba ya mtu wa TRA kumuulizia haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah. Baada ya miezi sita UTALAZIMIKA kulisajili hapa nyumbani... Hakikisha anayekuuzia anakupa document zote hasa kadi ya gari...

Contact Centre

Toll free in Tanzania
0800 750 075
0800 780 078
Alternative Number:
+255 22-2119343
WhatsApp Number
0744-233333
Email:services@tra.go.tz
Facebook:tratanzania
Twitter@tratanzania
Instagram@tratanzania
 
Back
Top Bottom