Habarini wana Jf?
Naombeni kujuzwa kwaanae ifahamu lulu ya baharini sijui niite ni madini ya lulu au kito sijajua ipo kwenye group gani?
Kwaanaejua thamani yake na umaarufu wake.
Natanguliza...
Salamu kwa wafanyabishara wote, aluta continua.....
Kuna ishu moja binafsi imekuwa kero sana kwangu naona niiseme tu. Maeneo mengi ya biashara au ofisi za kazi mfano saluni, hotel/migahawa...
Kiwango cha mshahara nilichokuwa nacho baada ya makato yote ni 545,000/= baada ya kuchukua mkopo mwaka juzi wakawa wananikata 147,861/= na kiwango cha mshahara ninachoenda nacho nyumbani ni...
Unapofikiria ni biashara gani uanzishe. Anza kufikiri biadhaa au huduma ambayo ina uhitaji mkubwa kwa jamii au watu.
Na kama biadhaa au huduma yako ikiwa inauhitaji mkubwa sana. Basi tayari...
Kampuni moja yenye brand nne sokoni. Kampuni hii yenye makao yake makuu Shenzhen China imejikita zaidi Africa kwenye biashara zaidi ya simu za mkononi.
Kampuni hii kwenye upande wa simu za batani...
Habari wakuu,
Naandika uzi huu kutokana na kero nilizokutana nazo siku ya leo hapa wilayani Uvinza mkoa wa kigoma
Nimetembela wilaya ya uvinza katika majukumu ya kikazi na harakati za maisha kwa...
Wadau habar ya jioni
Nilikuwa na till la M-pesa ambalo nimenunua kwa mtu, si unajua biashara ya matill, Sasa Jioni nimemepoteza simu kwa iyo limepotea pamaoja na simu
Tatizo ni kwamba Yule...
kama nikishakuwa na business name halafu nikachukua tin halafu nikaenda manispaa kuchukua leseni ya biashara si nitakuwa tayari na uhalali wa kufanya biashara? au kuna kitu kingine naomba mnipe...
___MAKOSA KATIKA PESA__
[emoji383]MONEY MISTAKE 1
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba...
Huduma ya Haven Ride Sasa Imeanza Rasmi mikoa yote Tanzania, ukiwa dereva au abiria nenda Playstore Download App yenye Jina Haven Ride, Mikoa ambayo tayari ina madereva Wengi hewani ni Dar, Dodoma...
natafuta mshirika wa biashara dar es salaam
awe na sifa zifuatazo
awe na stationary yenye internet cafe ndani yake
awe tayari kumiliki share za biashara tutakayoifanya
kwa maelezo zaidi...
Dar es Salaam — The precision of trading processes and standards at the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Plc has attracted the attention of international observers, granting the 23-year-old...
Karibu KIMOMWE MOTORS LTD tukuagizie gari kutoka Japan na sehemu mbalimbali ,kwa bei nafuu kwa muda muafaka.
Tupo magomeni mapipa mkabala na kituo cha mwendokasi ,jengo la Rubeya gorofa ya kwanza...
Habari Wanajamvi! naomba Kujua Njia nzuri ya Kukuza soko la mikate Au Bidhaa yoyote. Kwa mtu anae subir Mteja aje Dukan Kununua Bidhaa.
Assuming other Factors are Constant.
Liko location nzuri...
wakuu
Nimepata frem kwenye eneo la shule mwanzoni wakati naitafuta nilikua nataka kuweka saluni ya kunyoa ila wameniambia saluni hapana maana lile eneo vyakula vinapikwa sana kwa hiyo itakua...
Msaada wa biashara ya Gym (Body Fitness), ili uweze kufungua gym bora ya kisasa unatakiwa uwe na mtaji wa sh. ngapi.
Nimeona fursa hii kuna sehemu watu wana huitaji wa gym yenye vifaa vya kisasa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi ni mjasiriamali ambaye afanya biashara mtandaoni. Juzi nimepata mteja ambaye anahitaji bidhaa tofauti na zile ambazo nimekuwa nikiziuza. Jamaa yupo...
Habari za mchana wakuu,
Naomba msaada kwa wenye uzoefu na kodi za TRA. Nataka kuagiza bidhaa kutoka nje (China) kwa njia ya mtandao (Alibaba). Ni bidhaa tofauti kwa matumizi yangu binafsi ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.