Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jana nilibahati kakukaa wa wanazengo katika mitaa ya kati kujadili changamoto za kimaisha na hasa kwa wanaoishi mjini. Nimegundua kwamba maisha ni magumu kwa kila mtu sio mfanyakazi wala...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Najiuliza naomba tushirikishane uzoefu kuhusu nyumba za kupanga. Nia ni iwapo mtu anataka kujenga nyumba zaidi ya moja kwenye kiwanja kimoja, wapangaji wenye vipato vya kati na kuendelea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawasalimu kutoka jinini Mwanza, Mwaka jana nimeingia kwenye biashara ya kukatakata magari haikuwa rahisi kwa sababu nilikuwa sijui chochote kuhusu magari na ukizingatia ni biashara inayohitaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Mwaka jana nilianzisha kiofisi changu kidogo tu mtaani cha secretarial services (hasa kuprinti na kuscan kwani nilibaini kuwa nilipo ni njia kubwa ya wanachuo) baada ya kupata laptop...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Haya tena tunaopenda kula riba karibuni Leteni list ya mabenki na offers zao tuone zipi zinalipa in 3/6/9 and 12 months Leteni namba za percentage za hizo interests ili tujue ukiweka milioni...
3 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu naomba mwenyewe uzoefu wa masafa ya mataifa ya Afrikaa anipe Bei ya nauli ya Burkina Faso ni usafiri gani mzuri niutumie Kuna mzigo naenda kufuatilia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hellow bosses i hope mpo poa kwa anae fahamu njinsi au namna gani naweza kupata namba ya kampuni ya kufanya malipo kupitia mitandao ya sim mfano namba ya kampuni ya mbet kwenye mitandao ya sim ni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau, Naombeni idea zenu kuhusu biashara gani naweza kufanya kati ya Zanzibar na Bara (ikiwezekana Dar). Na pia kuhusiana na masuala ya kodi. Mtaji ni kama 10m. Shukran.
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Nashkuru sana baada ya kupigwa ban nimepata adabu ya kuwaheshimu viongozi wa Jamii Forums. Naomba mawazo, nina kamshahara kangu napokea kwa mwezi kanapitia NMB sasa nataka kuweka AKIBA kiasi...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
HELLO! Leo naomba tusaidiane suala moja, ni ukweli usio pingika kuwa ujasiriamali ni jambo ambalo linaweza kuokoa vijana katika tatizo hili la ukosefu wa ajira lakini kibaya ni kwamba vijana...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
NIna tatizo linanisumbua la kuingiza maji ndani kupitia madirisha ya Aluminium Mvua kidogo tuu ikinyesha maji mengi yanaingia ndani, tumejaribu kujaza silicon lakini haikusaidia, naomba mwenye...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Ni majuzi tu tuliambiwa na waziri pale mjengoni kuwa korosho itashuka bei kutoka 3300 hadi 2600 kisa imeshuka ubora[emoji16] lkn sasa someni hapo kwenye tangazo la dalali wetu In God we Trust
2 Reactions
85 Replies
8K Views
Natural Resources and Tourism minister Ezekiel Maige (pictured) was again in the firing line here yesterday over what Members of Parliament described as deliberate mishandling of procedures...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nianze kwa kujitambulisha kama mdau wa viwanda na kiwanda changu kina tumia kwa wingi unga wenu wa Azam Ngano. hapo mwanzo unga wenu ulikua mzuri sana very soft lakini hivi sasa umekua mbaya ule...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani...
26 Reactions
170 Replies
36K Views
Greetings, Binafsi nilifungua malkia account kwenye bank ya crdb ambayo kila mwezi nilitakiwa kuweka elfu 50. Kutokana na sababu za kuumwa nilishindwa kuendelea kuweka hela km ilivyotakiwa. Kwa...
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Habari wakuu.Naomba kufahamu namna ya kuexport raw cashew nuts ,ni documents gani unapaswa kuwa navyo na taasisi gani za kiserikali zinahusika katika utoaji wa hizo documents. ( Kwa sasa serikali...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka niagize bidhaa china kuna mtu alinigusia Kua naweza agiza kwa kutumia hawa alibaba nimedownload app yao nakupitia pitia bidhaa ninazotaka nimeona bei ni rafiki kabsaa Ila kitu ambacho...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Nchi ya Kenya wanajitahidi sana kufikiria na kupanga kipi wanachoweza kuuza katika nchi za ulaya na kwingineko, Kikundi cha C-Weed Company and women members of the Kibuyuni Seaweed Farmers group...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapenda mimi naitaji kufungua biashara ya kuuza spea za pikipiki asa san na aujue nipo Songea ningependa mwenye uwelewa anisaidie kunipa mchanganuo wake na pia mtaji ni kama kiasi gani...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom