Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

HUDUMA ya M Pesa inayotolewa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imetajwa kuwa chachu ya hatua kubwa iliyopigwa na Tanzania katika kuhakikisha watu wake wengi wanafikiwa na huduma za kifedha...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Leo nimeona nije na Mada hii ili ndugu zangu mlioko mjini mnufaike kupitia mawazo yangu! Iko hivi mjini Kuna watu wengi tofauti na kijijni. Yaani Unakuta nyumba 1 Ina watu zaidi ya 20...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Kuna mafanikio aina mbili katika maisha japo dunia huangalia zaidi mafanikio ya nje lakini kuna mafanikio ya ndani ambayo ndio ya muhimu kuliko vyote. Kumbuka kitu chochote kabla hata...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Source : Bank of Tanzania: Financial Markets - Interbank Foreign Exchange Market (IFEM)
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni msaada nifanyeje niweze kudhibiti wazo la biashara? ninakuwa na malengo ya biashara kabla sijawa na mtaji. Lakini kila nikipata hela najikuta nachanganikiwa nisijuwe nifanye biashara...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Billioni 1.1 ni watu waishio afrika na zaid na millioni 150 ni watu waishio EAC pia na watu zaidi ya million 56 wanaishi Tz Na pia katika hizoo idadi kubwa ni vijana sasa nakuuliza ww kijana...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za humu jamani Naombeni msaada wenu. Ninafanya biashara ya nguo za vitenge yaani nabuni nguo kisha nauza kwa watu kwa rejareja. Ombi langu ni kwamba najaribu sana kupanua biashara yangu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za majukumu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Nina ndugu yangu kaenda marekani, Texas. Sasa kanambia anataka anitumie pesa kwa njia ya Western union. Hii njia ni ngeni...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Nimepata chumba katika hilo soko,ile floor ya katikati...nilitaka floor ya chini lakini zimejaa,nilipanga niweke nguo lakini kwa floor hii ya kati nguo ni changamoto. Naombeni kujua kwa wenye...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Terminal ya BRT (mwendokasi) huko Mbagala inatarajiwa kuwa na muonekano huu. Na ile tabia ya kupitia dirishani itapotea kweli?
9 Reactions
58 Replies
13K Views
Wapendwa habarini za muda huu.... Mimi nina wazo la kufanya biashara ya urembo kwajiri ya kinadada na wakaka... Kuuza mafuta, lotion, hereni, bangiri vibanio na mambo mengine kama hayo ...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
NIMEKULETEA LIST ZA BIASHARA MBALIMBALI.... KAMATA MOJA UJIKOMBOE 1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza...
24 Reactions
71 Replies
22K Views
On my personal observation, naona tuna vyombo vichache sana vya habari vinavyoripoti habari za biashara na sijui ni kwanini!. Tunaupungufu mkubwa sana wa business magazines, TV shows au hata TV...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, kuna neno nimepewa na mchumi maarufu hapa nchini. Nadhani wengi mmesikia maelezo yasiyoridhisha kuhusu kushuka thamani kwa shilingi japo ya hatua nyingi zilizochukuliwa na serikali ambazo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari waungwana ! Hivi karibuni nilibahatisha kiwanja cha mawe ya chokaa(mgodi) ekari 50 nikakinunua kwa taratibu zote Naomba Wajasiriamali mnishauri juu ya uanzishaji kiwanda, majhitaji ya...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Afisa mwandamizi wa Ubalozi wa Austria wenye makazi yake Nairobi, Kenya. Bw. Kurt Muellauer akifungua Kongamano la Biashara lililoandaliwa kwa ushirikiano kati ya Chama cha Wafanyabiashara...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Nina shida na watu wanaofanya service EFD machines kwa Dar Es Salaam Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Nimekuwa nikiendesha blog yangu ya TOFAUTY BLOG (www.tofauty.ga) Lakini kulingana na jina hilo la .ga nikataka kulibadilisha liwe www.tofauty.com nikaweka hela benki kwa ajili ya kuweza kununua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu habar za asbui,naombeni mnisaidie kujua application za mikopo ukiondoa Tala na branch.plz ziwe ni zile ambazo unauhakika/ushaidi kuwa kuwa zinatoa . Nawatakia asbui njema na kazi...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wapendwa habari zenu jamani, Kwa mtu anayetarajia kufungua duka la vipodozi ningependa kupata suggestions za majina mazuriyanayofaa kutumika kwenye duka la vipodozi.. Kama si hivyo naomba kwa...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Back
Top Bottom