Msaada brela

fredo fred

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
747
1,611
Habarini wanaJF, naombeni msaada hapo nilikuwa nafanya application ya kusajili jina la biashara ila nilipofika hapo ikaandika hivyo na kila napoclick proceed bado inaaniletea hayo maneno TRY LOAD APPLICATION AGAIN
410427d1-89d2-4bdb-b74f-06c92366196f.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi Nina week sasa kila siku naambiwa nilekebishe taarifa zangu zaidi ya mara 4..alafu nishawapa hela yao kila sku nakutana na email zao wahuni sana
 
Mimi Nina week sasa kila siku naambiwa nilekebishe taarifa zangu zaidi ya mara 4..alafu nishawapa hela yao kila sku nakutana na email zao wahuni sana

Yaan mimi wameniboa sana leo nimehangaika siku nzima kila mda inaleta hayo maneno hata sijui nifanyaje

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom