Ukanda maalum wa Uuzaji Bidhaa Nje ya Nchi (Export Processing Zones)
Mpango maalum kwa ajili uanzishaji wa uwekezaji unaolenga katika mauzo ya bidhaa nje ya nchi kwa ili ya kuanzisha ushindani wa...
Wazo la biashara ambalo hujalipima kama linakubalika ama la laweza geuka bomu la kukumalizia mtaji wako. Make sure you validate your idea.
1. Jaribu kuangalia kama kuna mwingine anaefanya...
Wadau habarini za Jumapili?
Tafadhali naomba kufahamishwa vizuri matumizi ya huu mfumo wa TANCIS, naskia Tanzania Customs Integrated System.
Je mtu akikwambia kuwa Stuck on Tancis ana maana gani?
Poleni na majukumu wadau na wanajukwaa.
Katika harakati za maisha, siku moja nimekutana na sarafu za DIME ambazo zilikuwa zinatumika katika Taifa la United States. Ni sarafu isiyokuwa na thamani...
Kipindi nikiwa Tanzania rate ilikua Tsh 20 = 1 Ksh, lakini leo muamala wa Mpesa ya Voda kuja kwa Kenya, rate inatumika Tsh 23.48 = 1 Kshs
Kwa dollar ndio imebamizwa chini maana naona rate...
Habari za sahiz wana jf...
Naombeni kujuzwa namna ya kupata cm used za jumla kwa ajili ya kuuza kwenye kijibanda changu na hizi mpya pia zinakwenda na bei gan kwa dazen
Sent using Jamii Forums...
Mhadhiri wa chuo cha Biashara CBE, Dkt Dickson Pastory amezitaka benki hapa nchini kuongeza ubunifu wa kuongeza mapato yake kwa kutazama vyanzo vingine ikiwemo kuwafikia wananchi waliopo vijijini...
Habari zenu ndugu na jamaa wa JF?
Mimi nikijana mchakalikaji sana .baada ya kuona hali ya mzee baba inazidi kuwa ngumu biashara haziendi vizuri nikaona fursa saizi ziko kwenye kamari maana hata...
Wakuu kama heading inavyosoma hapo juu nimeona wale wazee ambao tunadeal na hii kitu tuwe tunapeana maarifa mapya hapa tuweze kudownload pesa kirahisi
Kupeana ushauri kuhusu broker wazuri and so...
Akili za watu hasa watanzania wengi wametekwa na mapenzi yaani mwanaume kutwa nzima anawaza lini atampata jen na jen naye kutwa nzima anawaza kwa nini elisha kamwacha anashindwa ku move on...
Kuna ndugu yuko jobless kwa sasa ila anamiliki gari JX 110. Ameniuliza anachoweza kuifanyia kama biashara nimekosa jibu.
Wadau, maalwatani wa Jiji tunaomba ushauri ushauri wenu.
Wakuu salama.
Kuna watu wamekuwa wakinishiwashi niingie kwenye vikoba kuwa ntapata mikopo yakukuzia biashara. Nilikuwa naomba watu waliofanikiwa kukuza mitaji kupitia vikoba wanieleze kwa undani...
**mod masahihisho heading isomeke mataruma
Mungu mkubwa ule mradi tuliombiwa hatuuwezi leo wanatandanza mataruma ya reli ,yaani ni kama ndoto eti baada ya mwaka mmoja watu watakuwa wanaenda...
Kiukweli hawa kuku wa mayai sioni uzur wake japo wasifika sana kwa utagaji lakini faida ya pesa na anaefuga kuku chotara ipo sawa.
Na hii kutokana na ghalama za chakula cha layers kuwa juu na...
Wakuu naitaji nipate card yenye uwezo wa kufanya online payments na iwe na uwezo wa ku recieve payments kutoka nnje ya nchi. Nina card ya crdb inafanya online payments but kupokea pesa mtu...
Nimetumiwa mzigo kutoka US ambao umeenda kushushiwa kenya badala ya tz. Nimetumiwa sms kuwa mzigo umeshafika kenya.
Msaada wa taratibu za jinsi ya kuupata na gharama za kuusafirisha hadi hapa...
habari za majukumu!
Mimi ni fundi ujenzi wa nyumba. Kwa sasa nataka niboreshe huduma yangu Kwa kufungua ofisi nzuri ambapo Itakuwa rahisi kukutana na wateja wangu.
Kwakuwa kufungua kampuni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.