Nahitaji Mshirika Katika Kilimo,

NTABO wa NTABO

Senior Member
Jun 25, 2017
190
221
Husika Na kichwa hapo juu, mimi ni muhitimu chuo kikuu ,nahitaji mshirika anayependa kilimo, niko shamba tayari ,muhoro rufiji pwani, nimefanya upembuzi yakinifu,kulingana na msimu ,nahitaji tuanze na bamia na mazao mengine atakayoona mshirika yanafaa kulingana na soko, ,mshirika awe na mtaji wa kuanzia laki tatu na kuendelea, au kama nitapata mkopo au msaada ni njema pia, maelezo mengine niulizwe nitajibu, safari huanzia popote muhimu mwisho,
 
Kwa Sasa Niko Muhoro ,Wilaya Ya Rufiji , , Ninao Uzoefu Katka Kilimo Wa Kutosha Tu, Nimetoka Mkoani Kuja Kufanya Kazi Hiyo,
 
Ukiwa na muda huna ufanisi na mtaji...ukiwa na mtaji huna muda...ukiwa na muda na mtaji sio mchapakazi...

Una mawazo mazuri...utafika mbali zingatia male go yako.
Hapo tuu ndo panasumbua, muda unanibana sana nina shamba langu Masasi kila nikipiga hesabu kupata muda mambo yanakataa, ajira inakaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom