Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Serikali kupitia Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP), imeendelea kunufaisha wachimbaji wadogo wa madini kwa kuanzisha na kuboresha mifumo mbalimbali itakayosaidia kukuza sekta...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Nashangaa mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuongelea mafanikio -- kuna nini hapa?? kwani watanania hawayaoni kwa macho.Wapo vipofu wengi tu.
0 Reactions
0 Replies
908 Views
SERIKALI imeonyesha kuridhishwa na utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji uliogharimu shilingi bilioni 520 unaotekelezwa katika halmashauri ya jiji la Arusha kwa lengo la kuhudumia wananchi. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa wanufaika na mikopo ya serikali kupitia halimashauri.. mungu akipenda mapema mwanzoni mwa mwaka nitamaliza mkopo na Nita omba mwingine..Sasa nahitaji kununua gari nifanye tax kwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Hello jamii, Nimejaribu kugoogle ni wapi naweza kwenda kuweka chapa ya biashara yangu lakini nimekosa nikakumbuka kisima cha maarifa chapchap suala hii ndio mahali pake. Nina logo yangu nataka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mitandao ya kijamii imekua suruhisho kwa watu wenye kujua kutumia Mimi mwenyewe nimekua nikinufaika nayo kwa kujifunza vitu mbalimbali kuuza na kununua vitu kwenye mitandao tofauti pamoja na huu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Habarini za jioni, Baada ya kufuatilia uzi kuhusu biashara kutoka Uganda leo nimeamua kuianza safari kwa vitendo. Mfukoni niko na Card ya Yellow Fever nauli na ATM Card yangu, Sina Passport, hii...
23 Reactions
219 Replies
31K Views
Do you want to start any of the following 65 businesses? Real Estate Agency - 42 pgs Maize Milling - 71 pgs Motorcycle Spare Parts Retail -33pgs Petrol Station (Independent) - 47pgs Imaging...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu mimi ni mjasilimali mdogo tu ambae kwa siku naweza tengeneza faida ya kuanzia elfu 30 or elfu 40. Sasa kwa sasa natafuta biashara ambayo inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa...
15 Reactions
305 Replies
74K Views
Habari wakuu naitaji ninunue Samsung a30 baada ya kuichoka hii tecno yangu nitapata wapi ya bei nafuu nipo arusha
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari za mchana wadau. Natafuta tairi za pikipiki aina Honda Twister CBX 250. Nipo Ruvuma na huku hamna hivyo kama kuna mahari zinapatikana hata kama ni used naomba tuwasiliane tufanye biashara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari. Naomba kujua gharama za kutoa pesa kwa hawa mawakala wa bank. Kwa elfu 50, laki na kiasi kingine wanakata kiasi gani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakubwa na wale wadogo. Binafsi baada ya maisha kuwa magumu na kusubiria ajira baada ya muda mrefu bila mafanikio, nimeona nianzishe bishara ya M-Pesa na Tigo Pesa Wilayani Kahama...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo nimeona Sijui ni Waziri au nani anadai ni marufuku kuagiza Michicha nje. Kwamba Migodi wanaagiza michiche nje. Kipindi cha nyuma napo ilikuwaga mijadala kwamba Super Market wanaagiza kila...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Nimeguswa na hii kitu, nimeona niilete kwenu. Soma kwanza "In 2014 I planned to visit Mikumi National Park; an absolutely beautiful wildlife conservation. To achieve that I prepared...
11 Reactions
52 Replies
12K Views
Wadau napenda kuwakaribisha katika group letu la Biashara na Wajasiriamali la Tangaza Business Solutions uze na kununua hitaji lako kwa bei nafuu group lina miaka 5 mpaka sasa hivi jiunge utengeze...
0 Reactions
5 Replies
766 Views
Peace everybody! Kama kawaida nipo hapa tena siku ya leo nikikupatia darasa muhimu kabisa litakalokusaidia kupata kazi UpWork au Freelancer.com kwa haraka. Nafahamu wapo feelancers wengi...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Mara nyingi baadhi yetu huwa tunaanza biashara kwa kusikia kwa watu faida ya biashara hiyo, bila hata kujua misingi halisi ya kabla kuanzia biashara husika tumejikuta Tukianza biashara hiyo na...
7 Reactions
21 Replies
12K Views
Habari za j'pili wakuu, Kabla ya yote napenda kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa tuniweka hai mpaka siku ya leo. Naomba kwa yeyote anayejua gharama za kupata laini za uwakala [Tigo pesa na M-pesa]...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau nimepata kafursa ka kuvuta kama milioni 20 hivi kipindi kigumu hiki cha magu hadi wanaume tumeona sifa kujiita "wanaume suruali" ili tusinyoyolewe. Nilikua naomba michango yenu ya mawazo...
1 Reactions
121 Replies
16K Views
Back
Top Bottom