Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama mtu anajua sehemu au yeye mwenyewe ananunua vitu used jijini Dodoma naomba anishtue nina simu yangu nahitaji kuiuza
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau...nawaomba msaada wa wazo la biashara. Nina 20 million cash kwa account. Mie ni mfanyakazi...kazi yangu inanibana sana...lakin nafanya kazi kwa siku 5 kwa wiki...na mara nyingine kusafir...
2 Reactions
29 Replies
13K Views
Wakuu naomba makadirio ya bati za mita tatu migongo midogo na mbao zitakazotumika, nyumba ina upana wa mita 11 na urefu mita 14.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bandugu.. Naombeni ushauri ,nataka nipeleke nguo mitumba vijijini kw hapa dom, je itanilipa?? Changamoto? Je? Kwa aliyewahi kufanya biashara hii afanye ku share experience yake.. Plz. Maana...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
...ninahitaji mkopo kwa ajili ya kujenga jengo la ghorofa 5, Sinza karibu na jengo jipya la psssf, ila sitaji kudhamini jengo hilo kwa kutumia biashara zangu ama kipato kingine nje ya jengo...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Tafadhali unapoombwa ushauri na mwana JF mwenzako kupitia post jaribu kutoa replies zenye chanya juu ya hicho kitu alichoomba au msaada anaohitaji kuupata sio kuanza kumuona kama boya fulani yuko...
5 Reactions
2 Replies
828 Views
Salama wakuu? kwema? niende kwenye mada moja kwa moja. Nafikiria kuanzisha duka la kuuza vifungashio vya bidhaa mbali mbali mfano: asali, karanga, ubuyu wengine wanawekea pilipili kiujumla...
1 Reactions
12 Replies
17K Views
Habari ndugu wanajukwaa, Ningependa kujua taratibu za kusajili partnership BRELA, utaratibu ukoje na gharama zake ni kiwango gani. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sitaki kuamini kuwa tunaenda kwa mwendo huu, mwendo wa fedha yetu kukosa thamani na kuzidi kudidimia chini. Ni ajabu wana uchumi kashindwa kuikomboa fedha yetu, wazee wetu wanatuambia hapo kabla...
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Mzuka! Ingependeza tungeiga hii makitu Black Friday kutoka kwa mabeberu ambayo ni kesho kuna punguzo la bei kwa kila bidhaa. Bongo ingekuwepo watu kesho tungechangamkia kununua magunia ya...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau habarini, mwenye idea ya jinsi yakufungua account ya paypal kwa Tanzania na pia iwe verified kama wenzetu wa Kenya..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shikamoni wakuu, ila wadogo malhaba. Nataka kununua saa ebay ila naambiwa eti nibadili njia ya malipo, natumia m-pesa master card nimekuwa nikiitumia kununulia vitu. Ilikuwa imeisha muda wake ila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Niko site huku upareni nimekutana na haya madini baada ya utafiti wa juu juu nimegundua ni either Red garnet au Rubby. Kwa wale wataalam wa madini hebu nipeni uhakika ni madini ya aina...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Je ni madini gani na yanaweza kuwa na thamani ya shilingi ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
UPDATE 21 NOV, 2019 12:57PM Wakuu bado sijafanikisha, watu ambao wanasema wanatoa mikopo humu hawapo serious kabisa, naomba kama kuna mtu yupo serious anatoa mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Tani 4,852,851 za korosho ghafi zimeuzwa katika minada miwili iliyofanyika kwa nyakati tofauti katika Wilaya za Lindi na Nachingwea mkoani Lindi mwishoni mwa wiki. Kaimu Mrajisi wa Vyama vya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu humu ndani. Samahani nimepata tatizo la ghafla nilikuwa nahitaji kupata mkopo wa kuanzia milioni nne 4 wa dharura kwa yeyote mwenye kujua ni wapi naweza saidika kwa taasisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha miaka minne imeongeza mapato yake na kufikia Sh. trilioni 58.3 Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Msafiri Mbibo, aliyasema hayo jana wakati...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mradi wa Umeme wa maporomoko ya Mto Rusumo uliopo mpakani wa Tanzania na Rwanda, unazishirikisha Nchi tatu za Tanzania, Rwanda na Burundi unaendeshwa kwa mkopo Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo...
5 Reactions
12 Replies
5K Views
Nauza vyungu vya kuyeyushia Dhahabu pamoja na vifaa vyote vinavotumika Elution pamoja na Scale za Tanita za Japani, Na vipimo vya maji kwa ajili yakuangalia asilimia kwa Bei nzuri kabisa. Kwa...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Back
Top Bottom