Nataka kufungua kampuni ya utalii nifanyaje?

wildcaretz

Member
Jan 11, 2017
13
7
Wanajukwaa mimi ni mgeni jamii forum, hoja yangu inayonitatiza ni namna ya kuanzisha kikampuni cha utalii kwa level ya kawaida.

Hapa ninachotaka kujua ni taratibu zake na gharama zinazohitajika, Pia namna ya kupata hao watalii. Naomba mwongozo wenu wakuu.
 
tafuta tour guide wa kuaminika,tengeneza network na wakodisha magari ya utalii(kama huna) pamoja na hoteli za kitalii,

tembelea kampuni nyingine kuona utendaji wao kisha ongezea hapo walipo ishia.

tengeneza website.

(usisahau kurasimisha biashara yako kupitia brella kisha itafwatia TRA, hamashauri n.k)
 
Asante ndugu na vipi upatikanaji wa watalii unapataje maagent
 
Wanajukwaa mimi ni mgeni jamii forum, hoja yangu inayonitatiza ni namna ya kuanzisha kikampuni cha utalii kwa level ya kawaida.

Hapa ninachotaka kujua ni taratibu zake na gharama zinazohitajika, Pia namna ya kupata hao watalii. Naomba mwongozo wenu wakuu.
Uko wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom