GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,655
Greetings.
Kama kawaida nipo hapa kukupatia maarifa yatakayokusaidia kupata kitu cha kufanya na mwisho wa siku unatengeneza pesa.
Leo nataka nikuonyeshe jinsi unavyoweza kuwa na Online Store yako simple (sio dropshipping) ambayo utauza kitu chochote unachotaka ilimradi unafahamu wateja wapo.
Kwa mfano mimi e-Store yangu nauza ujuzi wangu kama mkufunzi wa online business.
Kila kitu nimepangilia katika mpango mzuri kwahiyo client akija kwenye duka langu anaangalia Course anayotaka kununua na ataweza kufanya hivyo kwa kutumia Mpesa, Tigopesa, Airtel Money.
Na hii process yote ni automated.
Yaani kila kitu unakifanye mwenyewe unapotaka kununua.
Angalia mfululizo wa hizi screenshot utaelewa.
1 •
Hapo client ametembelea Store yangu. Jinsi inavyoonekana.
Unaweza ona baadhi ya Course nazouza.
Sasa clinet akichagua Course anayopenda ata-click na itampeleka picha number mbili inayozungumzia product details.
Hapa client ataelewa course inajumuisha vitu gani na kipi anaweza kuachieve.
2 •
Baada ya hapa ataendelea kwa ku-click na atapelewa sehemu ya CheckOut kama inavyoonyeshwa katika picha number tatu.
3 •
Baada ya hapa mteja ataendelea hadi sehemu itayaomtaka kuingiza Email yake
Angalia number picha number 4.
4 •
Baada ya hapa sasa ni wakati mteja kwenda kufanya malipo kwa njia ya offline. Yaani ataona number za Mpesa za kufanyia malipo.
Angalia picha number tano
5 •
Akikamilisha kufanya malipo mteja atapokea ujumbe kuwa amefanya malipo na punde malipo yake yatakdhinishwa.
Angalia picha number 6
6 •
Baada ya kupata ujumbe huu Pia mteja atapokea automatic email ikionyesha kweli amefanya malipo.
Angalia picha numer 7
7 •
Lakini pia na wewe mmiliki wa Store utapokea email kukujulisha order imeingia.
Angalia picha number 8
8 •
Baada ya hapa mteja atapokea Full Course katika Email yake na tajipatia darasa bila kusumbuana na mtu akiwa ametulia popote pale Tz huku wewe ukivuta chapaa yako safi.
View attachment 1229969
Ok.
Hapo nimeonyesha mfano wa e-Store yangu lakini hii unaweza ukafanya hata wewe...
1 • mwalimu kwaajili ya wanafunzi wako waweze kununua mafunzo yako katika somo fulani.
2 • wewe mama wa nyumbani unayejua sana kupika na unaweza kuandaa Course ya mapishi fulani kwa bei ndogo. Trust me people are willing to buy anything iwapo utafahamu mbinu zakuuza unachouza.
3 • wewe unayeweza kufunusha lugha ya kigheni kwa watanzania unaweza andaa Course yako na kuuza mara moja kwenye e-Store kama hii ya kwangu.
4 • yani unaweza kuuza anything of value.
Ok najua sasa unajiuliza sasa nitapataje watu waku tembelea Store yangu na kununua?
Ok, cool.
Kuhusu swali hilo pamoja na kupata Store kama hii nafundisha kwa malipo. Hapa maana yake nitakusaidia kila kitu kuanzia.....
• jinsi yakuboresha idea yako na kuifanya iuzike.
• jinsi yakuandaa course zitakazomfanya mteja kweli apate value.
• kuunda store
• jinsi yakuwafikia potential customer.
Hapo vipi?
Hiyo si ipo fair?
Au bado unataka nikufanyie kila kitu bure?
Ok. Nitumie email makingmoneyonlinetz@gmail.com nione nakusaidiaje.
Kumilliki Store kama hii na kuanza kuuza Course zako ni mwanzo mzuri wa wewe kuunda kampuni yako ya mtandaoni ambayo si tu ipo na potential ya kuwa kubwa na kukupatia pesa lakini pia itakupatia sana freedom.
Unafanya kila kitu ukiwa in the comfort of your house.
Ok ngoja niishie hapa kwa leo.
Tukutane tena kwenye darasa amazing kama hili soon.