Habari!
Wakuu Nina dharula nahitaji mkopo wa haraka wa takribani milion 8 na nitarejesha million 10 ndani ya mwezi mmoja.
Taratibu za kisheria zitafuatwa ikiwemo kusainisha hati za makubaliano...
Naomba kujua, maana jana wamenilazimisha ninunue na biashara nimeanza juzi! niliwambia waje kesho nikinunua! sasa sielewi hivi vitambulisho havina expire date!
karibuni!!
Wakuu hawa jamaa ukitoa hela hawakupi noti za elfu 10 wanakwambia hawana na hii ni mara zote. Juzi tulitoa milion 12 tukapewa mabunda ya elfu 2 na elfu 5.
Leo tena ndo wameniacha hoi jamaa yangu...
Nimetoka Kwenye darasa la ujasiriamali. Mwalimu kasema ili ufanikiwe you have to think out of the box.
Wana JF nimenthink out of the box nakuja na idea munisaidie kupata fursa ya kutoka kimaisha...
Baada ya BRELA kubadilisha mfumo wa usajili wa Makampuni na kuleta mfumo mpya wa Eletronic, Sasa tumekuja na huduma hii ili kukupa usaidizi wa usajili wa makampuni kidigitali usisite kuwasiliana...
Wanajamvi poleni na hekaheka za kumaliza mwaka..
Tujikumbushe; Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Gazeti la Dar Leo vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa...
Yaani adui mkubwa wa masikini siku zote huwa ni masikini mwenzake na wala sio tajiri. MO sio adui wa masikini, wala Bakhresa sio adui wa masikini.
Adui wa masikini ni masikini mwenzake ambaye...
Habari ndugu ni matumaini yangu mu wazima wa afya kama kijana mpambanaji nilikuwa naomba msaada wenu jinsi ya kuwa Wakala wa hivi vitu, ni matumaini yangu nitapatiwa msaada.
Natanguliza shukrani...
December 10, 2018 Rais alizindua vitambulisho vya wajasiriamali na wachuuzi wadogo wadogo maarufu kama wamachinga na alisema vitadumu kwa mwaka mmoja, sasa mwaka umeisha na wachuuzi hawa...
Biashara hii imeshamiri sana katika maeneo ya Dar es salaaam hususan mida ya jioni ambapo chapati moja huuzwa kwa wastani wa Sh. 500.
Wakuu naombeni mchanganuo wa hii biashara nataka kufungua...
1. Andaa orodha ya watu na taasisi ambazo unadhani zaweza kuhitaji huduma yako. Kwa mfano kama wewe ni mtengenezeji wa websites basi tafuta makampuni yote ambayo hayana website ama yana websites...
Watu wengi wanatamani sana kuagiza bidhaa mtandaoni kutoka Dar sababu bidhaa nyingi ni bei rahisi tofauti na mikoani lakini tatizo linakuja kwa wakazi wenyewe wa Dar wengi sio waaminifu.
Wanunuzi...
Habari wakuu,
Ni siku ya tano leo ombi lango la kufungua Kampuni halijafanyiwa kazi, status bado "making final decesion" naona hakuna tena email yao wala status change.
Walisharudisha mara tatu...
Habari za Mwaka mpya? Bila shaka tunaendelea kupambana tu.
Nina Idea 1 hivi ila implementation yake inahitaji watu wawe mikoa kadhaa wa kadhaa ndo Idea inaweza fanya kazi.
Sasa basi kama uko...
Kuna ndugu yangu anapokea kama milion 7 hivi wiki hii, sasa kaomba ushauri afanyie biashara gani nzuri, ila yeye anasema kaona fursa mkoa wa Shinyanga maeneo ya Kahama, anataka kufungua duka la...
Ndugu wana JF,imenibidi niuluze hili swali ili niweze kupata jibu lake,
nashindwa kuamini nchi kubwa kama Tanzania yenye uwingi wa watu na mali asili tunashindwa na nchi kama ETHIOPIA?
Bado sina...
Jf. Kampuni ya heritage financing company limited iliyoko Arusha mjini inyokopesha mikopo kwa riba ya 100% imeendeleza kilio nchini kwa kuuza nyumba za watanzania bila kufuata taratibu wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.