Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana bodi,habari za miangaiko,nataka kuagiza tractor nje ya nchi,nimelipaza Ukraine kwa muuzaji Garkolena-Group,ukiangalia kwenye mtandao wanajihusisha na vyakula,Je nitumie njia gani kujua ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salam za mwaka mpya wadau. Kuna rafiki yangu kaniomba nimtafutie bei za jumla za dagaa kavu katika soko la Kariakoo. Yeye anataka kusupply hapo sokoni. Naelewa huwa zinabadilika kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mafanikio hayaji sehemu uliyozoea, Mafanikio sio tabia za kila siku, Mafanikio sio watu walewale kila siku, Mafanikio ayachekei mtu, Mafanikio ni ujasiri hata kama mbele unaona giza nene...
31 Reactions
59 Replies
9K Views
Kama kichwa cha habari apo kinavyoeleza naombeni ushauri wenu. Nimetembelea mitandao kama Alibaba naona bei zao ni nafuu sana tofauti na bei ya hapa Tanzania.Nini kinafanya watu wakwepe kununua...
0 Reactions
23 Replies
13K Views
MTANGAMANO wa kikanda kwa nchi za afrika kupitia mashirika ya posta umesaidia kutoa huduma jumuishi na sahihi za kifedhana posta kwa watoa huduma zingine mbalimbali na hivyo kusaidia kuwafikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nimepatwa dharura ninahitaji kujua taasisi zinazotoa mikopo kwa kutumia kiwanja kama dhamana. Msaada wenu tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu....nimejaribu kupita alibaba nimeiona hiyo bajaji,kwa hiyo bei hapo naona inaweza kuwa afordable kuliko kununua hapa Tanzania....japo wameandika min order unatakiwa kununua 4...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Habarin jaman natumahi kila mmoja yupo okay Leo nataka kushare idea na nyinyi katka habar za mitandaoni Kuna kampuni mbalimbali kama eBay, Ali baba na Amazon unaweza kufanya manunuzi suala na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninahitaji kufanya biashara ya usafirishaji kwa kutumia Bajaji. Kwa kua ninahitaji kuanza na bajaji nne, nimehisi nivyema nikaziagiza kutoka nje kwa kua yaweza ikawa nirahisi zaidi kuliko kununua...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kumkopesha pesa jamaa/ndugu muda mwngine kumekuwa na changamoto sana kwenye urudishaji wa deni, nimegundua kwa sehemu kubwa mkopaji huwa akija kukopa kwa upole huku akitia huruma huku akiwa na...
4 Reactions
86 Replies
12K Views
MTANDAO wa miundombinu umekuwa ukifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Kama ambavyo mishipa ina kazi ya kupeleka damu katika kila kiungo cha mwili, miundombinu ina umuhimu...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Ubidhaishaji (Commoditification) Mbali na kitu hiki kuonekana kuwa kinawafanya watu wakae mbali na utu lakini tunapoendea tunapaswa kujua kuwa ubidhaishaji ni chanzo kikuu cha ajira kwa kipindi...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Serikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali. Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial...
21 Reactions
111 Replies
16K Views
Neno ujasiriamali si, neno geni miongoni mwetu na kumekuwa na dhana nyingi sana kuhusiana na ni nani mjasiriamali na ni nani ambaye sio mjariamali. Mjasiriamali katika dhana ya kisasa ni mtu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
NOTE: SIKO VIZURI KTK UANDISHI, MAPUNGUFU UYAVUMILIE CHUKUA UJUMBE Naanzia baada ya kumaliza form 4. Nikiwa nimemaliza form 4 nilichaguliwa kujiunga na A level kwakuwa mambo ya kiuchumi yalikuwa...
63 Reactions
60 Replies
10K Views
Naomba mwenye uwelewa na uzoefu wa biashara ya usafiri wa UBER anijuze please! Inaendeshwaje na mimi napataje commission yangu?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasaalam wanajukwaa! Nimeamua kwenda kujilipua Zanzibar hivyo kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu huu mji naomba uzoefu wake. Kwa nini naenda Zanzibari? Jibu ni simple tu, naenda kutafuta maisha...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Zamani nilidanganywa kwa kuambiwa kuwa ukiwa na pesa utapata kila kitu, kweli nikapambana na nikafanikiwa kwa kiasi chake. Ki ufupi nimewekeza kwenye biashara zisizofilisika. Na kwa siku napata...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Wakuu heshima kwenu. Kwa wenyeji wa Mkoa wa Arusha (mjini na maeneo ya karibu) ni maeneo gani ni naweza kufungua biashara ya Pub/grocery na ikawa ya mafanikio? Eneo Liwe limechangamka, mzunguko...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu Nipo Pwani ya kupambana na ninataka kuchoma meli. Lakini tatizo kuna mpinzani mmoja ananivuta shati nyuma. Mpinzani huyo ni mkopo toka benki moja hivi mjini. Hoja yangu ni hii...
2 Reactions
88 Replies
20K Views
Back
Top Bottom