Nini kimeikumba BRELA?

Fado

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
240
500
Habari wakuu,

Ni siku ya tano leo ombi lango la kufungua Kampuni halijafanyiwa kazi, status bado "making final decesion" naona hakuna tena email yao wala status change.

Walisharudisha mara tatu nikafanya correction.

Nina shida? Nahitaji Kampuni yangu ianze kazi mapema. Je nifanye nini wadau?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom