Nahitaji mkopo wa milioni 8, narejesha milioni 10 ndani ya mwezi

Vida1

JF-Expert Member
Jul 6, 2019
538
1,534
Habari!

Wakuu Nina dharula nahitaji mkopo wa haraka wa takribani milion 8 na nitarejesha million 10 ndani ya mwezi mmoja.

Taratibu za kisheria zitafuatwa ikiwemo kusainisha hati za makubaliano ya kisheria mbele ya wanasheria isitoshe Nina pesa yangu kwenye mfuko wa hifadhi incase nikishindwa kurejesha fao langu laweza taifishwa kufidia mkopo pamoja na other collateral.

Kama Kuna taasisi, Saccos au mtu binafsi nawakaribisha tufanye kazi.

Ushauri wa wapi naweza kusaidiwa suala langu kwa wakati nitaufurahia. Kejeli, vijembe na dharau vitavumiliwa kwa kiasi kikubwa.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaenda kwa mwanasheria tunaweka makubaliano kisheria kwamba incase nikishindwa kulipa hela yangu iliyoko hifadhi ya jamii itumike kumlipa mdai wangu incase nikifeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hairuhusiwi mafao ambayo hujapokea kuwekwa bond.
Kwani unastaafu ndani ya mwezi mmoja Hadi mtu akukibalie? Nenda benki wape dhamana ya kueleweka wanakupa chap chap.Huna ndugu au rafiki mwenye fixed deposit yenye pesa nyingi akudhamini? Wahindi huwa wanapata mikopo chap chap kwa kutumia fixed deposits za watu Wengine rafiki au ndugu.Nyie kwenu.vipi mnaishi Kama magaidi hamsaidiani?
 
Inaitwa wajinga ndiyo waliwao...huu siyo mtego kweli??;)
B.o.T imeshatangaza nani anaruhusiwa kufanya biashara hii ya kukopeshana...jamani wadau tuwe makini, tuchukue tahadhari isije ikawa ni mpango mkakati wa kudaka wakopeshaji haramu...

Everyday is Saturday......... :cool:
 
Vida ndani ya mwezi mmoja hiyo million 2 mbona kubwa sana. Kama ni biashara unaenda kufanya faida itatoka kweli?.

Nisamehe nauliza vitu visivyohusiana na mada.
Usijali Paula! Nimefanya calculation naweza pata zaidi ya million tano faster Kama faida. Ni ishu ya msimu tu imejitokeza once in a lifetime.
Fursa zile za msimu. Kila kitu nimekiseti Kiko sawa natakiwa nipump tu hela ikalete hela nyenzake.
Thanks for your worry and concern sweet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafao ya kijamii NSSF MTU atazipataje? Hiv unawajua wanavyosumbua kwa nn hayo mafao yako ya mfuko Wa jamii ysiyachukue ww ili uache kukopa kwa watu?

Physical collateral zitasaidia zaidi kwa ww kupata huo mkopo? Kama zipo mkoani hata huko kuna watu pia wanaweza kukusaidia au ukaziuza

Kipindi hii ya magu ni ngumu sana kukopeshana pesa hata sadaka watu hawatoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa wajinga ndiyo waliwao...huu siyo mtego kweli??;)
B.o.T imeshatangaza nani anaruhusiwa kufanya biashara hii ya kukopeshana...jamani wadau tuwe makini, tuchukue tahadhari isije ikawa ni mpango mkakati wa kudaka wakopeshaji haramu...

Everyday is Saturday......... :cool:
Sasa mpango wa BOT uje kukamata watu JF kwa money circulation gani iliyopo JF. Huko mtaani Kuna masaccos hata hayaeleweki yanakopeshana yakiwa na liquidity ya mabilioni lakini yanafunction swiftly.
Usiwe na mashaka mimi na fursa yangu imetokea kwa dharula na nataka kuigrab that's why natafuta emergency loan baby.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafao ya kijamii NSSF MTU atazipataje? Hiv unawajua wanavyosumbua kwa nn hayo mafao yako ya mfuko Wa jamii ysiyachukue ww ili uache kukopa kwa watu?

Physical collateral zitasaidia zaidi kwa ww kupata huo mkopo? Kama zipo mkoani hata huko kuna watu pia wanaweza kukusaidia au ukaziuza

Kipindi hii ya magu ni ngumu sana kukopeshana pesa hata sadaka watu hawatoi

Sent using Jamii Forums mobile app
PSSSF wanalipa sema within miezi mitatu ndo wanalipa, Sasa bahati mbaya Mimi nina dharula.
Asante kwa ushauri lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimasihara hivi upate mkopo wa milioni zote hizo?

Subiri mataita wajitokeze,maana jamvini humu kila mtu ana mifweza ya kufa mtu,hakuna lofa na mlala hoi!!!
Habari!

Wakuu Nina dharula nahitaji mkopo wa haraka wa takribani milion 8 na nitarejesha million 10 ndani ya mwezi mmoja.

Taratibu za kisheria zitafuatwa ikiwemo kusainisha hati za makubaliano ya kisheria mbele ya wanasheria isitoshe Nina pesa yangu kwenye mfuko wa hifadhi incase nikishindwa kurejesha fao langu laweza taifishwa kufidia mkopo pamoja na other collateral.

Kama Kuna taasisi, Saccos au mtu binafsi nawakaribisha tufanye kazi.

Ushauri wa wapi naweza kusaidiwa suala langu kwa wakati nitaufurahia. Kejeli, vijembe na dharau vitavumiliwa kwa kiasi kikubwa.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mushkeri lazima uwepo brother, kama mhusika mwenyewe unajua shughuli za hii mifuko, nasema huna nia njema
Mkuu kila kitu kikiwa well structured kisheria sidhani Kama kunaweza kuwa na mushkeri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200124-170918.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan mafao yako ndo yanilipe??...mafao yako n kiasi gn??...na unajua sheria ya sasa ya kupata mafao ikoje??....Tafuta Bond zingne
Tunaenda kwa mwanasheria tunaweka makubaliano kisheria kwamba incase nikishindwa kulipa hela yangu iliyoko hifadhi ya jamii itumike kumlipa mdai wangu incase nikifeli.

Hiyo ndio easy bond ya haraka haraka unless otherwise collateral bond zingine ziko mikoani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vida ndani ya mwezi mmoja hiyo million 2 mbona kubwa sana. Kama ni biashara unaenda kufanya faida itatoka kweli?.
Nisamehe nauliza vitu visivyohusiana na mada.
upo sahihi kabisa
hakuna biashara itakayolipa 1m kwa mwezi sembuse 2m
na ukishaitoa ni kesi kila siku wakati Waziri Mpango KESHAKATAZA BIASHARA HIYO ISIYOLIPIWA KODI
 
Back
Top Bottom