Aibu kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu kwa Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by engmtolera, Apr 3, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ndugu wana JF,imenibidi niuluze hili swali ili niweze kupata jibu lake,
  nashindwa kuamini nchi kubwa kama Tanzania yenye uwingi wa watu na mali asili tunashindwa na nchi kama ETHIOPIA?

  Bado sina jibu tanzania na ndege zetu mbovu hadi lini? Ni lini nasi tutakuwa na safari za nje ya Tanzania ukiacha safari za hapa Afrika?

  Ethiopian Air Lines, oftenly referred to as simply Ethiopian, is an airline headquartered on the grounds of Bole International Airport in Addis Ababa, Ethiopia.[2] It serves as the country's flag carrier.[2] The company is wholly owned by the Government of Ethiopia.[2][4] Its hub is Bole International Airport,[5] from which the airline serves 60 international destinations and 17 domestic.[2] The company flies to more destinations in Africa than any other airline.[4][6] Likewise, it is one of the few Sub-Saharan profitable airlines,[4] as well as one the fastest growing airlines in the industry.[7][8] The airline's cargo division has been recently awarded The African Cargo Airline of the Year.[7][8][9]
  Under Skytrax's five-star ranking system, Ethiopian's service merits three stars.[10] Ethiopian is a member of the African Airlines Association. The airline does not currently participate in any airline alliance, although it was accepted as a future Star Alliance member in late September 2010.[11]

  [​IMG]
  [​IMG]

  hayo ni mambo ya etiopia airlines

  Je ni lini Bongo tutaondokana na ubabaisha ktk maswala ya usafirishaji kwa njia ya anga?
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,478
  Trophy Points: 280
  tatizo wakubwa wetu hawana mtindo wa kufukuza watu wanaoua makampuni/wazembe
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Nawashangaa sana waTanzania wanaoilaumu nchi au serikali ikishindwa kufanya kitu, hivi wewe badala ya kulalama kwa nini usianzishe shirika la ndege, wenzako wakiona mapungufu sehemu fulani huwa wanachukuwa hiyo fursa kufanya kweli, mfano walioanzisha Precision Air, hawa wameona fursa wakaanza wala hawakuleta maneno wala hoja za kijinga. Sasa wako mbali na wanakuwa haraka haraka. Yupo pia yule Mtaliani/ Mtanzania mwenye slipway, kaona fursa kaanzisha kampuni yake ya ndege (Coastal) na sasa ina videge zaidi ya ishirini na inaendelea kukuwa.

  Wacha porojo, fanya kweli. Tanzania kuna fursa kibao, asiyeziona hizo fursa, atabaki humu JF kulalama tu.

  Usingoje Serikali ikufanyie kila kitu. Wewe unajifanyia nini? na unaifanyia nini nchi yako?
   
 4. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  tumebaki na uswahili ti.Also uteuzi wa kisiasa kwenye shirika la ATC umetuponza.

  Kenya airways wanatuletea Watz toka ulaya na viceversa.
  Hatuna ndege yetu inayotua viwanja vya Europe,except ya mkulu !!!!!

  PAmoja na njaa na poverty,WaEthiopia ,wamekuwa professional.
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Soma post #3
   
 6. F

  Fenento JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu Majimshindo soma tena thread ya engmtolera kabla ya kututoa kwenye main point. Aibu kweli kwa Tanzania kwavile hata ATC yenyewe tumeambia ina ndege mbili na kati ya hizo moja inafanyiwa matengenezo SA kwa mujibu wa taarifa ya kamati ya bunge mwezi uliopita. Pia kinashoshangaza zaidi ni kwamba ATC inazo ndege mbili lakini inawafanyakazi 155. Kwa mantiki hiyo basi tunasema ni aibu kwa tanzania kutokuwa na uwekezaji kwenye eneo hili la usafiri wa anga. Aibu tena aibu kweli kweli tumepitwa hata na Rwanda, Burundi, Kenya, na Ethiopia etc.
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kweli nimeshangazwa sana na hoja yako, jamaa anauliza kwa nini serikali yetu inashindwa kuwa na shirika la ndege la uhakika? Wewe unabaki kumkosoa tu, naona mara nyingi unakosoa bila kutafakari kwa kina? Hivi ina maana serikali inashindwa na Precision Air line kweli ki utawala? Naungana na mtoa mada ni aibu kwa serikali kutokuwa na shirika la ndege la uhakika?
  Vitu vingine ni lazima utumie akili, hivi unafikiri ni watu wangapi wenye mawazo lakini wanakwama mitaji? Wewe unaona ukiona kuwa serikali inakosea sehemu fulani unaweza ku - take advantage kirahisi?
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Aibu? Ya nini? Kuna shirika lipi lilianzishwa na nyerere lilafanikiwa? Umeshajiuliza hilo? Hata katiba yake sasa hivi watu hawaitaki. Dhulma aliyoifanya ndogo?
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Serikali ndio imeshashindwa, sasa iseme mara ngapi? Mpaka waliwapa wa South Africa, sasa sijui wa china. Hivi serikali imeshindwa kwa nini nyinyi hamfanyi? Mwenzenu mie nna hisa katika ka kampuni cha ndege kadoooogo, kana ndege mbili tu, lakini kalianza na moja ya watu wanne, sasa kana mbili, ya watu saba na ile ya wanne. Na nyie anzeni wacheni firimbi.
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kaka usifananishe nyau na simba,hao wahabeshi wametuzidi si kwa ndege na mambo ya aviation tu hata utalii,nchi yetu na raia wake ni kama tuna laana vile kazi yetu ni kushabikia mambo ya kipuuzi tu kama vile maandamano ya kumuunga Gadaffi oh hapo ndio utawajua wa TZ
   
 11. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Na isitoshe hilo shirika linaendeshwa na waeyhiopia wenyewe kuanzia kwa CEO hadi kwa mpika chai hakuna sijui cha TX kutoka ulaya au states,na kwa kuchombezea wana totoz si masikhara yakhe
   
 12. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #12
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  angalia kenya serikali ndio mmiliki wa ile campuni,ethiopia,China tena hawa china ndio baraa nipo china kwa sasa,hawa jamaa serikali inamiliki Mabasi yote ktk city,train zote,ndege zote,nyumba,kiwanja unauziwa kwa mita squre tena kwa miaka 70 ikipita hiyo kiwanja sio chako,kila sehemu serikali inamiliki yale mambo muhimu na wala sio wawekezaji kama ufanyavyo wewe na serikali yako,itafikia siku hata ikulu tutamtafuta mwekezaji,nasikia hata bank kuu serikali haimiliki mmempa USA tutafika kweli

  Na hutaki watu waseme

  Wacha porojo, fanya kweli. Tanzania kuna fursa kibao, asiyeziona hizo fursa, atabaki humu JF kulalama tu.

  Usingoje Serikali ikufanyie kila kitu. Wewe unajifanyia nini? na unaifanyia nini nchi yako?[/QUOTE]
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mawazo kama haya ni ya watu waliokunywa maji ya bendera mpaka damu yao imekuwa ya kijani. Maanake nina hasira, siwezi kuendelea.
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Mkiambiwa kweli hasira, hivi, kinakushinda nini kuanzisha shirika la ndege? Lile la nyerere ndio limekufa kama yeye mwenyewe. Wewe unangoja nini? Mbona waTanzania wengi tu wameanzisha, hao nilowataja hapo juu na wengine wengi sijawataja.

  Hivi mtangoja mfanyiwe na serikali mpaka lini? Mbona kuanzisha ma disko hamngoji serikali?
   
 15. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #15
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
   
 16. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  crap thinking,unajua kuwa precision Air,mr mramba alikuwa na intrest,wakati huo huo akiwa ni waziri ktk sekta hiyo hiyo,ingekuwa china angesha pigwa risasi kisheria
  .mtoa mada alikuwa akisema kuwa tumeshindwa kujiongoza kitaifa ktk vitu vya msingi kama usafiri na nishati,kwani tuna hadi gas lakini tunaongoza kui export bila kuitumia yote nchini
   
Loading...