Biashara ya chupi hapa Dar itanitoa?

Wimsha

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
521
500
Nimetoka Kwenye darasa la ujasiriamali. Mwalimu kasema ili ufanikiwe you have to think out of the box.

Wana JF nimenthink out of the box nakuja na idea munisaidie kupata fursa ya kutoka kimaisha. Hivi jumla ya uzito wote wa chupi zinazovaliwa hapa Dar mchana ni kiasi gani? Na usiku je? Hamna fursa hapo ya ku-make money? Nimedata mwenzenu...
 

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
661
1,000
Kwahiyo Ujasiriamali wako katika chupi ni kutaka kuongeza uzito au kupunguza?
 

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,297
2,000
Chupi zipi hasa? za kike au kiume.nakushauri za kike halafu uwe na mobile service..ili ufanikiwe uwe na namba ya whatsapp pia Uwe Instagram ili mteja achague huko then unampelekea kwake
 

kamchizi

JF-Expert Member
Mar 13, 2016
212
225
Nimetoka Kwenye darasa la ujasiria mali . Mwalimu kasema ili ufanikiwe you have to think out of the box.. Wana JF nimenthink out of the box nakuja na idea munisaidie kupata fursa ya kutoka kimaisha . Hivi jumla ya uzito wote wa chupi zinazovaliwa hapa Dar mchana ni kiasi gani? na usiku je? Hanna fursa hapo ya kumeki money? Nimedata mwenzenu...
Kipimo gani utatumia kupima??
 

salumsimba12345

New Member
Sep 11, 2018
4
45
Kuna biashara nyingine zimejificha zinahitaji jicho la tatu.. hapa nakusudia huko kuthink out of the box.... kama bakhresa anafanikiwa kwa kuuza biscuti ya mia 2 au moo kwa kibiriti cha shilingi hamsini ,,,, mimi na wewe tunadhani ni lazima tuuze bidhaa za mamilioni come on .....hatutaweza kuwa na jicho la tatu...........................................................................................................................................BIASHARA YA CHUPI ni dili kubwa ambalo watu wengi wanalidharau,,, hebu jiulize nani avai chupi, boksa au taiti, jibu ukilipata tukutane October 2020
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom