Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

How can I do this?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
762 Views
Wakuu wanajamvi poleni na pilika za maisha Nina mpango wa wa kufanya biashara ya ng'ombe katika mfumo mmojawapo kati ya hii: Kunenepesha (nanunua bei rahisi wakati wa kiangazi nawapa lishe...
3 Reactions
34 Replies
10K Views
Katika ulimwengu kila mtu analo jukumu na nafasi yake.Kutambua nafasi yako kunaweza kukuwezesha kufikia mafanikio kwa muda sahihi na kufurahia maisha.Katika biashara na maendeleo huwa kuna aina...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Hapa point ni soko lipi lina vitu chee vya bei nafuu vya kuandaa madikodiko na vyakula vyengine? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Imeelezwa kuwa Tanzania ilikuwa sahihi kuwa na bifu na kampuni ya Acacia Minining ambayo haikutimiza wajibu wake ipasavyo. ====== TANZANIA “had a legitimate beef” in its dispute with Barrick...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
UJENZI wa meli mpya ya kisasa Ziwa Victoria umefikia asilimia 35, ambao unatarajia kugharimu Sh. bilioni 86 hadi kukamilika kwake. Hayo yameelezwa juzi jijini Mwanza na Kaimu Mhandisi Mkuu wa...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
habari wakuu,kuna hii biashara ya kuuza crips za viazi,ndizi au mihogo na tambi za dengu,naomba kufahamu juu ya faida na soko lake kwa ujumla kwa dsm.mashne za kutengenezea znapopatkana na gharama...
2 Reactions
3 Replies
10K Views
Salaam wakuu.. Poleni na mitikasi ya january nzima, natumai wewe family yako pamoja na jamii nzima inayokuzunguka ni wazima wa afya njema kabisa. Naam mimi ni kijana mwenzenu kiumri ninamiaka...
0 Reactions
16 Replies
15K Views
Miezi kadhaa iliyopita serikali iliamua kuongeza kodi maradufu (kama si zaidi) kwenye mabango ya matangazo (billboards na hata kwenye magari). Aliefikiri hivyo obviously hajui the first thing...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuanzisha biashara bila mtaji ni moja ya mambo ambayo kila mtanzania anatamani yangewezekana. Nina amini inawezekana tu ukiweza kutafsiri maana ya neno mtaji. (Kwa mtazamo wangu,) Mtaji ni...
13 Reactions
31 Replies
26K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, je nifanye biashara na ndugu wa kuzaliwa nae au kila mmoja afanye yake tusije gombana? Kuna kipindi nilifanya na brother mmoja ila nilikuwa naona kama yeye ndo inabidi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Tanzania imepata mabadiliko makubwa ya teknolojia katika kipindi cha miaka 10 iliyopita. Leo hii, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 11 wanaotumia mtandao wa intaneti kupitia simu zao za mkononi...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Wanazengo, nilikuwa naitaji kujua kuhusiana na madini kiundani zaidi. Kama hiyo photo hapo unawezaje kutambua kwa kuyaona au unaweza kutumia njia ipi kuyajua. Sina uzoefu na madini. Nilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefanyiwa kitu cha hovyo na Vodacom sijui ni kwangu au na kwa wengine pia kama kinawatokea. Nimeweka vocha naambiwa kuna tatizo la kiufundi na baadae naweka tena naambiwa vocha imetumika katika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwema wana JF! Natafakari ikiwa mtaji wa Milioni moja waweza tosha kwa kuanzia biashara ya ufugaji,km yupo mwenye experience zaidi na biashara hii anisaidie kufunguka zaidi ili nijue hii industry...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wenda kijana mwenzangu kwa Siku nyingi na miaka mungu umekaa bila kugundua na kufikiria maisha yako ya mbeleni utafanya nini kufikia target yako. Inaweza isiwe muhimu sana kwa mtazamo wa juu ila...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Haijalishi unasomea masomo gani. Iwe uhandisi, iwe unajimu, iwe biashara, iwe ualimu, etc. Unapaswa kuandaa mazingira ya kujiajiri kwa kufanya mambo yafuatayo. 1. Jifunze public speaking...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salama wakuu? Naomba moja kwa moja niende kwenye mada. Kwanza kabisa naomba ku-declare interest kua mimi ni msikilizaji mkubwa sana wa radio na kwa namna moja au nyingine imenifanya kuwa mdadisi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Kwa jina naitwa Fabian,umri wangu ni miaka 30 nipo mkoa wa Dar es salaam,elimu yangu ni taaluma ya teknolojia ya habari ngazi ya cheti tu,kutokana na kukosekana kwa ajira hapa kwetu...
6 Reactions
52 Replies
10K Views
Habari ndugu zangu. Mimi ni mjasiriamali. Na natafuta mwekezaji ama angel investor kwa ajili ya biashara ya mgahawa wa burger jijini Dodoma.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom