Hebu leo tujadili ni kampuni zipi zinafanya vizuri kibiashara hapa Tanzania?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau,

Hebu leo tuacheni vibiashara vidogo vidogo tuje kwenye makampuni, sasa tujadiliane katika kampuni ulizowahi kufanya nao kazi. Je, ni kampuni ipi unayoona na rahisi kuanzisha na inaingiza faida kubwa per annual.

Je, ni kampuni ipi ukianzisha ni rahisi sana kupata wateja na ku-cover ile kitu inaitwa return on investment ( ROI)?

Tambua kuna makampuni mengi kama IT, Manufacturing, Mining, Commission Agent, Recruitment, n.k

Je, ni kampuni zipi ndogo ndogo zinafanya vizuri sana kwa hapa Tanzania kwa ss hivi? Taja kampuni ambayo unatamani ufungue kama vipi elezea mtaji unaohitajika, utafutaji wa soko, changamoto n.k.

Ukielezea vizuri unaweza pata Business Partner hapa hapa, kesho mnafungua kampuni yenu.

Hebu njooni hapa tujadili wadau .

------------------------
Baadhi ya michango

Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie.

'Peer- to Peer Mobile App' itakayounganisha kati ya Truckers and Transporters kwa soko la Africa

Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc. Wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers

Kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya;

1) Ku-develop App: ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India

2) Ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater

3) Branding na Marketing

4) Preliminary Expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP

Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A, B, C, D etc

Potential Employee

Investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , India ambapo itakuwa ndio engineering center ya Mobile App tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka

Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer

Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40.

If you are serious inbox tuwe billionaires by 2025
 
Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie
peer- to peer mobile app itakayounganisha kati ya Truckers and transporters..kwa soko la Africa

Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc
wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers

kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya
1) kudevelop app, ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India

2) ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater

3) branding na marketing

4) Preliminary expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP

Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A,B,C,D,etc

Potential employee
investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , india ambapo itakuwa ndio engineering center ya mobile app tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka

Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer

Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40
if you are serious inbox tuwe billionaires by 2025
 
mfano unaenda migodi ya wachimbaji wadogo wadogo unapeleka bidhaa kama vile maji ya kunywa. mchele. unga.maharage.nyama nk hii unaweza ukawa unawauzia wao wachimbaji kwa bei ya jumla na wale mama ntilie wanaouza vyakula una wajumlishia kwa kupeleka bidhaa hukhuko porini ili kuwapunguzia gharama za wao kwenda kujumua mjini

hii ni kwa migodi kama chunya au kakola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Migodi gani ambayo ukipeleka utauza fasta fasta ??Chunya kule Makongorosi na Mkwajuni??Nyarugusu?Katoro au wapi ambapo umeona watu wamekuwa wakifanya na wametoboa??
 
Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie
peer- to peer mobile app itakayounganisha kati ya Truckers and transporters..kwa soko la Africa

Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc
wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers

kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya
1) kudevelop app, ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India

2) ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater

3) branding na marketing

4) Preliminary expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP

Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A,B,C,D,etc

Potential employee
investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , india ambapo itakuwa ndio engineering center ya mobile app tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka

Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer

Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40
if you are serious inbox tuwe billionaires by 2025
Bonge la idea mzee wng!
 
Vp tupe uchambuzi wa Catering Service boss!
mzee wangu alikua na cafeteria miaka ya nyuma mkoani,. akaamua kuingia kwenye catering, kama subcontractor anaeprovide chakula bora,kizuri na chenye hadhi kwa taasisi + kampuni mbalimbali. project nliyokua naifaham ni alipata ku-cater chakula katika kampuni ya CASPIAN wakati ipo mgodi wa tulawaka!..

i.e mfano unaweza ingia contract na taasisi kama hospital au kampuni na hata pia viwanda(hususan kwa dar viwandan kuna changamoto ya chakula) n.k ya kuprovide chakula(hitaji essential) mtaelewana kulingana na services utazokua unatoa, ubora wa chakula n.k ... mashuleni pia unaweza kuapply hii kitu, japo shule nyingi zinajitegemea ila ukiwa na marketing skills unaweza kupata.

nikipata capital nta-organize hili wazo niliingize kazini,.
 
Hapo unakuwa unatoza wateja kiasi gani na faida ya jumla ya mwaka unatarajia kuingiza kiasi gn baada ya uwekezaji wa hiyowq
mzee wangu alikua na cafeteria miaka ya nyuma mkoani,. akaamua kuingia kwenye catering, kama subcontractor anaeprovide chakula bora,kizuri na chenye hadhi kwa taasisi + kampuni mbalimbali. project nliyokua naifaham ni alipata ku-cater chakula katika kampuni ya CASPIAN wakati ipo mgodi wa tulawaka!..

i.e mfano unaweza ingia contract na taasisi kama hospital au kampuni na hata pia viwanda(hususan kwa dar viwandan kuna changamoto ya chakula) n.k ya kuprovide chakula(hitaji essential) mtaelewana kulingana na services utazokua unatoa, ubora wa chakula n.k ... mashuleni pia unaweza kuapply hii kitu, japo shule nyingi zinajitegemea ila ukiwa na marketing skills unaweza kupata.

nikipata capital nta-organize hili wazo niliingize kazini,.
Wazo zuri sana hili boss wangu,ngoja nianze kulifanyia kazi mwakani Mungu akipenda nitaanza na baba ntilie nakuwa na supply msosi kwny maduka k/koo na mkokoteni mtaji ukikua nafanya Cater
 
Uzi mzuri sana.

Katika elimu ambayo mpaka sasa naijua nusunusu tu, 90% sijui kuhusu hii elimu ya kampuni (Company) sio mimi tu watanzania wengi wanajua tu jina kampuni sijui Hisa ila hii elimu pana.

Hii elimu nitaitengea mwaka mzima niisome tu In and Out maana naWish kuja kuwa among Founder of Company in any Industry.

Portfolio | 2020
 
Haya ndio mambo sasa.
Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie
peer- to peer mobile app itakayounganisha kati ya Truckers and transporters..kwa soko la Africa

Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc
wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers

kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya
1) kudevelop app, ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India

2) ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater

3) branding na marketing

4) Preliminary expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP

Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A,B,C,D,etc

Potential employee
investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , india ambapo itakuwa ndio engineering center ya mobile app tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka

Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer

Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40
if you are serious inbox tuwe billionaires by 2025

Portfolio | 2020
 
Kilimo cha bangi.
Wazo zuri wenzetu wa Marekani washaanza kulima bangi kwa ajiri ya tiba na wanaingiza mkwanja mrefu sana nadhani ni muda muafaka sasa wa serikali kutoa tamko kuhusu kilimo cha baki kama vp tuzalishe bangi kama zao la biashara tutengeneze sheria inayoruhusu uzalishaji na kukataza matumizi .

Bashe na waziri wa viwanda naomba wapitie huu Uzi.
 
Wazo zuri wenzetu wa Marekani washaanza kulima bangi kwa ajiri ya tiba na wanaingiza mkwanja mrefu sana nadhani in muda muafaka sasa wa serikali kutoa tamko kuhusu kilimo cha baki kama vp tuzalisha bangi kama zao la biashara tutengeneze sheria inayoruhusu uzalishaji na kukataza matumizi .

Bashe na waziri wa viwanda naomba wapitie huu Uzi.

Hata hapa kwetu wako mbioni kupitisha sheria. Anza kuandaa mashamba. Tuta export kwa sasa tukiwa tunasubiria wajenge viwanda ila huo ndio muelekeo.

Biashara nyingi sasa hivi zinakufa, uwezo wa watu kununua vitu umepungua sana. Wazo au biashara inaweza kuwa nzuri sana ila hali za watu haziko rafiki.

Kwa sasa, chakula ndio kwa mbali ukipata eneo zuri na ukaweza kutoa huduma nzuri utafanikiwa kutengeneza pesa.
 
Kila la kheri
Uzi mzuri sana.

Katika elimu ambayo mpaka sasa naijua nusunusu tu, 90% sijui kuhusu hii elimu ya kampuni (Company) sio mimi tu watanzania wengi wanajua tu jina kampuni sijui Hisa ila hii elimu pana.

Hii elimu nitaitengea mwaka mzima niisome tu In and Out maana naWish kuja kuwa among Founder of Company in any Industry.

Portfolio | 2020
 
Mie ngoja ni share tu hata wakiiba ubunifu algorithim ninayo mie
peer- to peer mobile app itakayounganisha kati ya Truckers and transporters..kwa soko la Africa

Pilot ni Dar Es Salaam then majiji mengine kama Nairobi, Kigali, Johannesburg, Lagos, Accra etc
wawekezaji wapo ila wanataka kuwekeza kwenye MVP kwa maana mpaka kuwe na early customers

kwa kuanza inahitajika $90,000 ambayo ni kwa ajili ya
1) kudevelop app, ambapo ili itoke kitu bora kuna kampuni nimeongea nayo ni app developers wa India

2) ku- rent ofisi ambayo tume opt iwe nyumba ya ghorofa stand alone house (its a bit cheaper kulinganisha na office space) ambapo hapo ndio itakuwa our head quater

3) branding na marketing

4) Preliminary expenses kwa miezi sita tukitekeleza our MVP

Baada ya MVP tuta rise 1.2$ seed investment ambayo itapandisha thamani (valuation) ya kampuni up to $5-10 million, then from there tutaendelea ku rise investment kwa series A,B,C,D,etc

Potential employee
investment ikiwa kubwa baadae tutafungua office Bangalore , india ambapo itakuwa ndio engineering center ya mobile app tukiachana na ku outsource other companies kwa ajili ya kutengeneza app yetu, vile vile tutafanya headhunting kwa makampuni kama Lalamove na GogoVan ya China na Hong Kong ambao ni pioneer kwa aina ya project tunayotaka

Truckers ni kuanzia Kirikuu, canter, Fuso, Tipper, Mende, na Semi trailer

Algorithim ipo na kwenye makaratasi imeandikwa page 40
if you are serious inbox tuwe billionaires by 2025
Ni kweli kuwa algorithim unazo wewe...lakini unasahau kuwa si wewe pekee ambaye una coding skills. There are other good guys out there.

At this ideation stage...hukupaswa kuisemea semea sana hii project....progress ungeifanya nyuma ya pazia na ungekuja kuiweka wazi once something concrete kimeanza...

Unaweza kushangaa baada ya wewe kuweka wazi hapa jamaa mmoja akakusanya timu yake wakaingia kazini na wakawatangulia sokoni.
 
Back
Top Bottom