Msaada wa wazo la biashara

bichwa mtoto

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
274
563
Najua humu ni jukwaa kubwa la biashara ambapo kama wadau tunaweza kusaidiana ili kuweza kwenda mbele zaidi kimaendeleo.

Mimi mtaji wangu ni kama milioni moja eneo ni sehemu ya wachimbaji wadogo wameweza kukusanyika kwa ajili ya uchimbaji wa madini.

Biashara mbalimbali zinafanyika kama uuzaji wa chakula kuna guest bubu vibanda vya mpira vinapatikana.na biashara za fedha zinapatikana(Mpesa Tigo pesa nk)

Msaada wangu kwenu naomba mnisaidie wazo ambalo naweza kufanya biashara nje ya biashara hizo katika mjumuiko wa watu hao.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom