Nami nilitaka kuuliza hili suala, inashangaza mpaka leo hakuna majibuWadau salaam!
Nilikua naomba maoni, ushauri na mawazo kuhusu hii biashara ya laundry ( kufua nguo ). Nafikiria kufungua katika moja ya maeneo kama Sinza, Masaki, Mbezi beach, Kinondoni. Vipi changamoto zake na faIda zake?
Shukrani!
Umebadili avatar
Umebadili avatar