Habarini wapendwa,
Naomba kufahamu ni maduka/maeneo gani Kariakoo nitapata bidhaa za viungo kwa bei nzuri ya jumla kwa ajili ya kuuza rejareja.
Lakini pia, naomba mapendekezo ya viungo vinavyotoka sana kwa mtu anayeanza biashara hiyo.
Natanguliza shukrani.