Kwanini wengi hawaamini biashara ya kujenga hailipi?

Michael chuma

Member
Jul 16, 2020
9
75
Kuna sababu nyingi lakini nitakuelezea kwa uchache tu

1. Biashara ya kujenga inahitaji mtaji mkubwa hivyo basi uwa utajenga sehemu ya biashara kwa rengo la kutunza fedha na ndani ya Hiro iyo fedha yako aitolud kwa wakati unao uhitaji wewe bari uchelewa na ivyo basi ukipangisha amna kingine zaidi ya nyumba kukutunza .

2. Biashara ya nyumba pia itakulipa kwa wakati endapo kama utajenga Gest.. hotel.. nk kidogo italeta manufaa kwa wakati

Kwanini nakushauri ujenge
Sababu nyumba au kiwanja uwa avishuki samani zaidi zaidi vinapanda thaman tofaut na gari unaweza nunua leo mil12 kesho ukauza mil7 umeona tofauti

Pia, nyumba ni rasilimali isiyo potea tofauti na biashara nyingine mfano una biashara enaenda sawa lakini mwishoni ukajichanganya kidogo ukafilisika lakini nyumba huwa haifilisiki labda uuze mwenyewe.

Thanks and I love you. Best smart furniture interios in Mafinga contact 0765380953
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom