wirewizard
Member
- Feb 14, 2014
- 75
- 56
Umofia kwenu wanaJamiiforums,
Ndugu zangu nimejiunga na Freelancer Website ili kutafuta kazi za kwenye Mtandao lakini kuna mambo sijayaelewa kuhusu kupata malipo kutoka kwa employer wako.
Atanilipa kwa njia zipi mimi nikiwa Tanzania? Je, nitajiunga vipi na hiyo njia ya malipo? Je, ni payments through M-Pesa au accounts za bank za kawaida kama CRDB Tanzania? Je, unajiunga vipi na Network hiyo ya malipo kutoka Tanzania mpaka kwenye Website ya Freelancer Au GURU, Fefver nikiwa job seeker?
Naomba msaada wa Knowledge kuhusu hayo mambo ndani ya Freelancer. Ndugu zangu, mimi jobless kwa sasa, niko Nyumbani na family inanitegemea. Nimepata road accident hivyo niko tu home.
Nakaribisha msaada wenu wanaJamiiForums.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app