Msaada wapendwa, biashara ya Ice Cream za Azam

Genecandy

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
492
882
Heshima yenu wakuu naomba kuuliza jamani.

Kuna mtu anauzoefu wa biashara ya Ice Cream za Azam kwa wale wanao tembeza kifuani wamevaa mankotena? Naomba mnisaidie utaratibu unakuwaje?Unachukulia wapi?

Na vipi faida yake maana kuna ndugu yangu anataka kuanza kufanya anasema ana laki moja awe anachukua alafu anatembeza. Yeye hataki vibaiskeli mana ni wa kike.
 
Kwanza hauhitaji mtaji katika ile biashara. Unahitaji tu utambulisho kutoka serikali ya mtaa na udhamini tu. Ukifika pale utapewa lile bag na mzigo na utaingia mtaani kuuza. Jioni utarejesha palepale utalipia hela yao utabaki na faida yako. Kama hujamaliza utawarudishia tu.

Kwa ufupi hicho ndio nijuacho kuhusu hilo. Kwa zaidi unaweza ukafika magomeni kuuliza zaidi. Usiogope
 
Asante mkuu naomba unifafanulie zaidi naenda kwenye wakala wa azam?wao wanakupangia bei?kama huna mtaji hyo faida unapata vipi?sorry mkuu naomba nifafanulie zaidi

Magomeni sehemu gani mkuu nije kesho?

Nadhani mtaji wao ndio wanakupa, kwa hiyo wewe ni kama msambazaji tu. malipo yako yatatokana na mauzo yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom