Pesa kutoka nje ya Nchi

Pesa kutoka nje ya Nchi

Kamnyomo

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
128
Reaction score
186
Habarini wanajukwaa

Kuna ndugu yangu kaomba kunitumia pesa kupitia bank account, naomba kufahamu yafuatayo:

1. Je, itaingia kwenye Account direct, mie niende tu kutoa ATM?
2. Je, makato yake yapoje?
 
Mpe Acc namba bank acc n Swift code, ila wordremit na Western union ndo very simple options
 
Acha uzito kitu worldremitt ndio mpango mzima mwambie atume hela ukatoe kwa wakala tu, Makato yanakua yashatolewa na kwako mpunga unakuja direct aidha Tigo Pesa au airtel Money. Simple like that
Worldremitt ni salute sana, acha tu hakuna mambo ya Western union ni mambo ya mpesa, tigopesa,airtel money [emoji3472]
 
wire transfer zinachukua siku tatu mpaka tano na inakatwa kati ya dollar 20-40 kwa transfer. Ikishaingia watoa tu kwenye atm kama ela nyingine yoyotee
 
Ni app ambayo watu wa nje wanatumia kutuma pesa huko bongo (na nchi nyingine duniani).
Kutuma from Bank to Bank,kuna complications nyingi na inachukua mpaka siku kadhaa na zinaweza kugoma,sababu Bank za nje security kwao ni big deal,na hawaamini sana system zetu.
 
Nimejaribu kuicheki playstore nimeikosa,so nimpe maelekezo gani ili aipate hiyo app maana nae ni mzito mpaka siyo poa
 
Mwambie huyo ndugu yako ajisajili na World Remit na haichukui dakika hata 10 kukamilisha usajili.

World remit wanatuma pesa kwenda moja kwa moja Tigo pesa, Mpesa, Voda na airtel.

Hata ukitaka kupokea fedha taslim yote pia yafanyika.

Akiishafanya usajili anamalizia kabisa na kuweka App ya World Remit kwenye simu yake na anaanza kukutumia huo mpunga moja kwa moja.
 
Huyo ndugu yako yupo nchi gani hasaa labda hapo nitaweza kuanza kukuambia cha kufanya....
 
Back
Top Bottom