Haya ni madini aina gani?

Benaya-

JF-Expert Member
Jul 31, 2019
4,417
7,608
Wakuu, naomba wenye utaalam wa madini wanifahamishe kuwa haya ni madini aina gani?

IMG-20200827-WA0002.jpg
IMG-20200827-WA0004.jpg
 
Kuna mtu analia mda sio mrefu!
Una mawazi ya kiwizi wizi sana.
Badilika mkuu sio wote matapeli kama unavyoamini.
Haya madini kuna mtu amepata, anataka kujua thamani yake kabla ya kutangaza soko.
Ameniomba ushauri nami ni mweupe sekta hii
 
Yani huyo mtu apate hayo madini, alafu aje akuulize wewe uliyemweupe kwenye maswala ya madini, yeye kayatoa wapi? Kuwa serious mkuu!
Mtu mwenyewe Chuku chuku kuna haja gani kujibishana naye?
Haya sasa umepokea malalamiko yoyite?
Acha ufukara kichwani wewe jf ni ndugu tumeelimishana kila wakati
 
Back
Top Bottom