Msaada: Soko la asali

Msaada: Soko la asali

DarkidMtoto

New Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
2
Reaction score
1
Habari zenu Wana JF,

Natumaini ni wazima, naomba msaada jamani, nina asali lita 8 nmetoa Tabora. Lita 5 nimeijaza kwenye chupa zile ndogo za konyagi ( 200Ml) imebaki lita 3, sasa naona nimekosa njia sahihi ya kuziuza maana sina duka.

Na nilitegemea niuze online lakini mambo naona hayajakaa poa, naomba msaada wenu wa ushauri tu ni vipi naweza kuziuza hizi asali kwa reja reja.

Ahsanteni.
 
Habari zenu Wana JF,

Natumaini ni Wazima , Naomba msaada Jamani , Nina Asali lita 8 nmetoa tabora , Lita 5 nimeijaza kwenye chupa zile ndogo za konyagi ( 200Ml) imebaki lita 3 , Sasa Naona Nimekosa njia sahihi ya kuziuza Maana Sina duka.

Na nlitegemea niuze online Lakini Mambo naona Hayajakaa Poa , naomba msaada wenu wa ushauri tu ni vipi naweza kuziuza hizi asali kw reja reja.

Ahsanteni .
Unauzaje mkuu, ni vizuri ukaandka bei na namba zako pia kwa maelezo zaidi na ufafanuzi kuhusu biashara yako. Asante[emoji3578][emoji3578]
 
Habari zenu Wana JF,

Natumaini ni Wazima , Naomba msaada Jamani , Nina Asali lita 8 nmetoa tabora , Lita 5 nimeijaza kwenye chupa zile ndogo za konyagi ( 200Ml) imebaki lita 3 , Sasa Naona Nimekosa njia sahihi ya kuziuza Maana Sina duka.

Na nlitegemea niuze online Lakini Mambo naona Hayajakaa Poa , naomba msaada wenu wa ushauri tu ni vipi naweza kuziuza hizi asali kw reja reja.

Ahsanteni .
Mi nahitaji, taja bei na mahali ulipo.
 
Unauza lita 8 za Asali? Au sijafahamu??
 
Lita 8 au 800 😳 😳 Kama ni lita 8 ndio unakuja kuuliza soko huku kweli, hizo wauzie majirani zako au weka nje ya nyumba yako. Najua wewe kwa status yako huwezi tembeza mitaani!
 
Na lita 80 za asali napatikana Buguruni sheli
1 lita 12000
Nusu lita 6000
Call 0746696878
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom