Naenda Kongwa Kumbe Dhahabu Ya Kusini Ipo Pale

Oldskul

Member
Jan 12, 2013
85
151
Wadau kwema

Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile.

Kumbe show inaendelea Dodoma hlf watu wamekausha muda huo watu tumekazana na lindi na mtwara dah....

Ngoja nifunge safar niende.. nikikuta na fursa nyingine ntawarudia stay tuned.....View attachment 1566684View attachment 1566685
kongwa_tuitakayo-20200911-0003.jpg

Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mzee mi mwenyewe nimeshangaa ila jamaa wana mikorosho hapo na wanavuna huu mwaka wa 3 ndo nataka niende nikaone mzee

Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Hata kule Shinyanga niliona jamaa ana kishamba chake na zimestawi vizuri sana nikashangaa. Kumuuliza akasema yeye alipanda tu kwa matumizi binafsi kwa sababu anazipenda sana...

Inaonekana zina uwezo wa kustawi maeneo mengi
 
Ofcourse ni kwel.. Sema kwa Dodoma mi nimeshangaa kwel.. Nataka nikifika pale Kongwa nifanye mpango nionane na DC Dkt. Serera Au watu wa ofisin kwake kwa maelezo zaidi.... Niende na hivyo vijiji nikaone... ila kwa kongwa pale safi sana... Si unajua mambo yetu ya mazao ya kilimo ukaribu na Soko (Dar) ndo mambo yanakua safiii

Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom