Naomba maana ya maneno haya

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
967
664
Habarini wana jamvi, kwenye maswala ya stock markets kuna vitu kadhaa nahitaji kujua maana zao, vitu vyenyewe ni :

1. ETFs (exchange traded funds)
2. Mutual funds
3. IQ options

So please kama kuna mtu ana ujuzi na hivyo vitu naomba anifafanulie na nikipata ukakasi kwenye vingine nitakuja kuomba msaada wenu.
Naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom