Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wanajamii Mimi nimkulima wa mitiki kwasasa INA miaka 8 je naweza kupata mkopo kwa dhamana ya shamba hati niliyo nayo ni ya kimila inayotolea na serikali ya kijiji picha chini apo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ufugaji wa kuku wa mayai wa mezani unaonekana una tija sana. MFANO: Una kuku 500 wa mayai(layers) kwa siku watataga kuku 450 ambao ni wastani wa trei za mayai 15, ukiuza trei kwa tsh 6000 kila...
3 Reactions
26 Replies
12K Views
Biashara gani inaweza ukaingiza 5000 kwa siku Mtwara mtaji ni 200,000/= Uzi tayari
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwenu wakuu Ningependa kujua bei za frame za biashara maeno haya Dar Survey Mwenge Makumbusho Mikochen Ubungo Mbezi na Kawe. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maisha haya kwa ambao hatujaajiriwa huwa yana changamoto na radha yake tamu/chungu. Kwa mfano kuna jamaa yangu alikuwa anauza nguo Centre ya Magula (kijiji maarufu kwa ajili ya uchimbaji dhahabu...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Mambo vipi? Ni siku nyingine tena nipo hapa kukupatia darasa muhimu kabisa jinsi unavyoweza kutumia maarifa kuongeza revenue kwenye Online Business unayoendesha. Leo nataka niwe specific jinsi...
5 Reactions
31 Replies
7K Views
Pata nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani ya zaidi ya shillingi laki tano-500,000tsh lakini pia jinyakulie zawadi nyengine kama vile TECNO H2 earphone na TECNO S1 wireless speaker pale tu...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari wadau, Nataka kufungua Kampuni. Naomba unisaidie jina gani la kutumia. Shughuli zangu kubwa ni mfugaji; namiliki poultry farms yaani nafuga kuku wa mayai na kuku wa nyama na pia namiliki...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Poleni na majukumu wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii platform ya flycoin inajihusisha na mambo ya cryptocurrency trade. Na Mimi nikiwa mmojawapo wa member ambao nimeivest kweny hii...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu. Katika pita pita zangu mitandaoni. Nimekutana na hii machine. Haraka haraka likanijia wazo. Je, kama nitaweza kuhifazi matunda kwa kutumia mifuko ya plastik na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Marketing ina mchango mkubwa sana ktk kukuletea wateja na kuikuza biashara yako "Marketing sio sales" Wengi tunapenda na tunatamani kuuza, lakini tambua mteja hapendi kuuziwa (Customers don't...
3 Reactions
3 Replies
881 Views
Kwenu wakuu Pole kwa majukumu ya wiki nzima ,naombeni kujua bei za frame maeneo haya Dar 1)Survey 2)Mwenge 3) Makumbusho 4)Mikocheni 5) Kawe 6)Mbezi Natanguliza shukrani
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kufahamu kuhusu soko la bidhaa hii pendwa kwa sasa hususani Bei yake kutoka shamba, usafirishaji pamoja na soko lake kwa ujumla.
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Katika kuzunguka kwangu nimekuta hizi simu zinauzwa cheap sana kwenye maduka ya mjini tofauti na ile bei ya samsung wenyewe wanayouza, yani unakuta simu ya 550000, inauzwa 420,000. Si vibaya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba mtu mwenye kampuni ya ku supply office stationaries kwenye ma taasisi kwa mfumo wa tendering, nahitaji kupata ufahamu wa wapi anachukua kwa gharama nafuu (kwa hapa hapa Tanzania) na profit...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi nikiuza juice ya matunda kwa kutembeza maeneo ya stendi si inaweza kuwa biaahara nzuri? nimeona matunda yanauzwa bei rahisi sana yaani parachichi la mia tano unaweza kutengeneza glass tano...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwaka ndio huo umekatika njooni tupeane fursa za kibiashara kwa mwaka 2021. Ili tuweze kujipanga vyema. Kwa mwaka 2021 afe kipa, afe beki lazima...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, Poleni na majukumu. Nina shida na Cement namba 42 TWIGA Au DANGOTE Leo nimezunguka mji mzima mpaka Buguruni kote nimekosa. Huenda Hii suala ya Uhaba wa Cement limekuwa tatizo Kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninawapa pongezi kwa kutoa zawadi kwa wateja wenu kwa kuwauliza maswali mepesi, uamuzi mliochukua ni furaha kwa wateja wenu. Pesa taslimu kiasi cha 1000,000. (milioni moja) kwa wakati huu wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…