biashara ya juice ya matunda

biashara ya juice ya matunda

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
328
Reaction score
633
Hivi nikiuza juice ya matunda kwa kutembeza maeneo ya stendi si inaweza kuwa biaahara nzuri?

nimeona matunda yanauzwa bei rahisi sana yaani parachichi la mia tano unaweza kutengeneza glass tano za juice nzito.

najua wapo wengi wanaotengeneza juice ila naamini nitawin market sababu kwanza nitakua msafi balaa afu naweka kweny zile glass kama makjuice maana naona wengi wanatumia chupa za maji used. au mnaonaje wakuu. nipeni maoni

uzi tayari
 
Just to it my dear.....kila la kheri Tena unatafut n vile vikopo special vy juice n biashara nzurii sanaa nmeuza Sana'a juice ofcoz inalipa Sana...but usafi muhimu
 
Yes, ni biashara nzuri sanaa zingatia usafi na utengeneze juice yenye quality hakika utaona manufaa.
 
Just to it my dear.....kila la kheri Tena unatafut n vile vikopo special vy juice n biashara nzurii sanaa nmeuza Sana'a juice ofcoz inalipa Sana...but usafi muhimu
hivi mfano Ya parachichi UnAsaga Matunda tu au kuna viambata vingine namaanisha viungo
 
quality mbali na sukAr Unaeeka nn tena
Usiweke sukari nyingi na usiweke maji mengi kiasi kwamba ladha ya tunda inapotea.
Unaweza ukaweka hiliki au tangawizi kwenye juice ya embe inapendeza sana.
Na pia kuwa mbunifu usitengeneze juice ya aina moja tu ila pia ujue wateja wako wanapenda nini.
 
Unampoteza mwenzio. Juice haitakiwi uweke a lot of artificial ingredients ikapoteza naturalist yake. Kama ni juice ya embe, contents zake ni embe, maji, na sukari Basi.
 
Sawa mpendwa ahsante kwa marekebisho
Unampoteza mwenzio. Juice haitakiwi uweke a lot of artificial ingredients ikapoteza naturalist yake. Kama ni juice ya embe, contents zake ni embe, maji, na sukari Basi.
 
kisha unaichemsha hadi ifike boiling point kabla ya kuiweka kwenye chupa
 
Uzuri wa JF member wengi wapo Dar pili mkoa unaofata ni Dodoma.

Dodoma wauza juisi wengi wamefeli kwenye kujua location, mpaka leo kuna sehemu centric kabisa kufanya juice point ila hadi leo hakuna aliyeweka juice point pale | kwasababu sina muda niko bize kuna Dada mmoja anatengeneza juice quality na package nzuri nikampa wazo tudhilikiane mie nitoe pesa yakutengeneza Kibanda kidogo cha juice yeye atauza akazingua.

Mpaka leo wazo lipo kichwani.

Siri moja “Juice ni luxury drink kwa wengi, so wateja wengi ni maeneo ya luxury palce, refreshing areas hapo ukifanya outdoor service unapata prsa"
 
unaonaje tushirikiane mkuu mimi nina muda ila capital haijakaa vizuri kwa sasa
 
Back
Top Bottom