Natafuta jina zuri la kampuni

Natafuta jina zuri la kampuni

Jumaa gosso

Senior Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
188
Reaction score
127
Habari wadau,

Nataka kufungua Kampuni. Naomba unisaidie jina gani la kutumia.
Shughuli zangu kubwa ni mfugaji; namiliki poultry farms yaani nafuga kuku wa mayai na kuku wa nyama na pia namiliki nyumba za kupangisha.

Nina mpango ikifika mwaka 2018 ninunue mabasi ya abiria. Je ni jina gani litanifaa?

Karibuni wadau
 
Vip mkuu ushakuwa na kampun tayr??
Umenunua mabasi?
Hope itakuwa ivo bosi wangu
 
Back
Top Bottom