Max Marketer
Member
- Oct 13, 2020
- 46
- 50
Marketing ina mchango mkubwa sana ktk kukuletea wateja na kuikuza biashara yako
"Marketing sio sales"
Wengi tunapenda na tunatamani kuuza, lakini tambua mteja hapendi kuuziwa
(Customers don't like to be sold,they like to be helped to buy)
Mteja anapenda asaidiwe kununua,.. Na hiyo ndiyo hasa kazi ya marketing
Msaidie mteja wako kununua, kwa kumuelimisha, kujibu maswali yake,
kumtoa mashaka na wasiwasi,mpe options zilizopo achague,mpe taarifa zaidi
Market your business, Beat the competition.
That's marketing my friends, have a good day
------------------------------
I will update the thread with quotes and lessons about marketing, usikose
--------------------------------
By: Max Marketer TZ
- I help businesses to understand and apply Social Media Marketing & Advertising So that they can Win more clients online and grow .
- Join my Free whatsapp group for more lessons, tips... Text "ADD ME" to 0752225475 , you'll be added.
-------------------------------------