Biashara ya kuingiza 5000 per day Masasi Mtwara

Kuna mtu kama namuoana anataka kukwambia jifunze forex.... ila subili wenye mawzo na waoujua mji wa Mtwara vizuri
 
Masasi ni mji wenye mzunguko mkubwa sanaaa wa pesa. Nakushauri nenda mpaka pale ukajifunze kwa macho yako ndipo uingie field
 
Kasome changamoto zao, angalia utazitatua vipi kisha weka bei kwa kila suluhishi aidha huduma au bidhaa.

Ukisikia uwekezaji sio hela tuu, hata uchunguzi na kupata namna ya wao kupata suluhisho unakuwa umeunga bomba la hela kwenye mkondo wa hela.

Wanasemaga maji hufata mkondo, hivyo hivyo hela.

Kila la kheri.
 
Nimekupata madam
 
Back
Top Bottom