Mwenye kampuni ya ku supply office stationaries

evan rwiza

Member
Nov 9, 2015
22
17
Naomba mtu mwenye kampuni ya ku supply office stationaries kwenye ma taasisi kwa mfumo wa tendering, nahitaji kupata ufahamu wa wapi anachukua kwa gharama nafuu (kwa hapa hapa Tanzania) na profit margin yake inakuaje kuaje, naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom