Ugali Supu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 252
- 261
Habari wakuu,
Poleni na majukumu.
Nina shida na Cement namba 42 TWIGA Au DANGOTE Leo nimezunguka mji mzima mpaka Buguruni kote nimekosa.
Huenda Hii suala ya Uhaba wa Cement limekuwa tatizo Kwa sasa.
OMBI;
Naomba mwenye nayo Au kujua sehemu ambayo Naweza kuipata kwa Dar es Salaam anisaidie.
Idadi ya mifuko niitakayo ni 40.
Nashukuru