Je, naweza kupata mkopo kwa dhamana ya shamba?

jaytravo

Member
Dec 4, 2018
30
15
Habari wanajamii Mimi nimkulima wa mitiki kwasasa INA miaka 8 je naweza kupata mkopo kwa dhamana ya shamba hati niliyo nayo ni ya kimila inayotolea na serikali ya kijiji

picha chini apoView attachment 1626842
IMG_20201113_173003_6.jpg
View attachment 1626839View attachment 1626841
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom