Tsh.50,000 kwa Tsh.500,000 na Tecno spark 5pro, pre oder sasa!

TECNO Tanzania

Senior Member
Jul 6, 2016
192
216
Pata nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani ya zaidi ya shillingi laki tano-500,000tsh lakini pia jinyakulie zawadi nyengine kama vile TECNO H2 earphone na TECNO S1 wireless speaker pale tu utakapoingia katika maduka ya TECNO na kufanya malipo (pre-order) ya awali sh.50,000 kwa jili ya simu bomba ya TECNO spark 5pro.

Spark-5-Pro-SM-5.jpg

Ili kuwa miongoni mwa wateja wa kwanza kutumia TECNO spark 5pro unaweza kupre-Order kuanzia tarehe 8/10-16/10/2020 katika mikoa ifuatayo;

MKOA
DUKA
NAMBARI YA SIMU
Dar es Salaam​
Mlimani City Smart Hub, China plaza smart hub, Hyatt, Mobimart, Mashreq, Inorbit, Mercury, Raju n.k654843687
654304803
Mwanza​
Jambo Mwanza Shop, Gift Shop 1, J.B.L Mobile,
Katoro shop, Bukoba shop
719083413
753144128​
Arusha​
CCM Babadi, Bus Terminal Arusha,
715092100​
Dodoma​
Pablo shop
764161011​
Moshi​
Totolee
659392893​
Mbeya​
BM shop, TECNO Mbeya shop
758442496​

PRE ORDER SASA KUPITIA LINK HII PRE ORDER SPARK 5 PRO SASA
 
Watumiaji wa tecno utawajua tu.
Anyway mwisho wa siku kila mmoja anakuwa na flavour yake.
Ndiyo boss ikiwa tu watu wanatumia tecno Mimi Ni Nani hata nijidai?

Ukijichunguza vizuri mkuu utakuta wewe ni masikini wa mali na akili, kwa akili yako unajiona Bill Gates kwa kumiliki apple toleo la 2011

Jifunzeni kuheshimu watu na vitu vyao maana vinawasaidia wao na siyo wewe!
 
Hii aya ina ujumbe mzito sana naimani dogo kakuelewa.
 
Jifunzeni kuheshimu watu na vitu vyao maana vinawasaidia wao na siyo wewe!

Hii aya ina ujumbe mzito sana naimani dogo kakuelewa.
Mkuu Kuna watu humu utakuta anajitutumua kuwa ana vitu vizuri ( wao wanasema original ) huku akiwaona wenzake wasio navyo Kama masikini Sana halafu yeye ndiye Mo.

Huyohuyo katika maisha ya kawaida Hana ajira, Hana hata kitanda yaani anakula na kulala kwao
 
JF hapa kila mtu tajiri, ila wengi wao ukikutana nao utawahurumia maana ni tofauti na wanavyojinasibu humu.
 
Ndio aina ya watumiaji watecno walivyo huwezikuta aliestaarabika wengi majibu yao ya hovyo kama vimulimuli vyao
Vyovyote vile bibie, ukidhani wanaomiliki simu tofauti na tecno ndiyo wastarabu utakuwa huna shule kichwani. Ni sawa na kusema matajiri wote ni wema na Ni wachaMungu huki ukidai masikini wote Ni watenda dhambi na hawajastaarabika.

Unakosea Sana, najua kwa taifa la Tanzania watu wengi mna uchumi unaokaribiana ukitoa matajiri wachache, kujiona kwamba uko juu ya mmiliki wa tecno yeyote yule Ni kipimo dhaifu Sana na ni upungufu wa fikra chanya.
 
Ndiyo boss ikiwa tu watu wanatumia tecno Mimi Ni Nani hata nijidai?

Ukijichunguza vizuri mkuu utakuta wewe ni masikini wa mali na akili, kwa akili yako unajiona Bill Gates kwa kumiliki apple toleo la 2011

Jifunzeni kuheshimu watu na vitu vyao maana vinawasaidia wao na siyo wewe!
Hakuna sehemu yoyote ile niliyokudharau wewe pamoja na tecno yako unayomiliki,kilichonifurahisha mimi ni jinsi ambavyo umemjia juu mkuu rubii baada ya kuhoji swala la tecno kuwa simu. Na hili tatizo la masikini kuhusu kudharauliwa kila muda sio lako tu, hivyo siwezi kulaumu.

Mimi natembea na kila toleo la iPhone😀, hata Sasa si muda mrefu nitakuwa na iPhone 12.
 
Back
Top Bottom