Biashara ya nanasi

Biashara ya nanasi

Joined
Sep 26, 2020
Posts
31
Reaction score
23
Naomba kufahamu kuhusu soko la bidhaa hii pendwa kwa sasa hususani Bei yake kutoka shamba, usafirishaji pamoja na soko lake kwa ujumla.
 
Naomba kufahamishwa juu ya hii biashara pendwa hapa mjini kuanzia mtaji wake na Bei yake kutoka shamba au kwa supplier pamoja na mzunguko wa kibiashara.
 
Kiwangwa bagamoyo washanza kuvuna
Nlipita jana nmeona kuna watu kutoka arusha na kenya wanavizia mananasi

Ova
 
Back
Top Bottom