KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,148
- 1,907
Poleni na majukumu wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hii platform ya flycoin inajihusisha na mambo ya cryptocurrency trade.
Na Mimi nikiwa mmojawapo wa member ambao nimeivest kweny hii platform.
Nilipewa APK file nika install kweny simu yangu na kufata taratibu zote za kujiunga na nika deposit 20 USD (sikutaka ku risk hapa kwa maana bado sio mzoefu sna)kweny my wallet na nikanunua moja ya coin yeny jina la BRB.
Niliinunua baada ya senior wangu kuifanyia analysis na kuniambia nisiwe na shaka na kweli ilikua inafanya poa.
Sasa kuanzi trh 05 Nov hii platform haifanyi kazi yeyote huwezi ku deposit, huwezi ku withdrawal, username haipo.
Customer service hawapo online toka 05 Nov via WhatsApp
Nimejaribu kumjulisha Senior nae kuna tatizo kama langu, nae haelewi analifuatilia.
Je, wazoefu wa Mambo apa si ndo kupigwa au? Shida kama izi huwa zinatokea?