Salamu wadau!Tafadhali,wapi naweza pata kifaa/machine ya kuchajia betri za magari hapa Dar na kwa bei gani?Nataka nikafungie kijiwe cha kuchaji betri huko kijijini misaidieni.
Wakuu, poleni na Majukumu, naomba kujua kuhusu maisha ya Zanzibar, kuna rafiki yangu wa kike ameenda Zanzibar leo hii kutafuta maisha na hajui pa kufikia, nimemkataza lakini hakunisikia.
Naombeni...
Habari wakuu!
Mimi ni kijana jinsia (me)
Wasifu: Fresh graduate nina shahada ya Teknolojia Habari na Mawasiliano (ICT) kwa sasa nipo Dar naendesha biashara yangu, experience yangu kwenye...
Habari za wakati huu wakuu, Niwape pole kwa mampambano mnayoyaendeleza nje ya mitandao kila mmoja kwa upande wake akiamini atapata kile anachokipigania.
Bila kupoteza wakati nielekee moja kwa...
Nawasalimu wana jf wote popote mlipo
Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wa kununua simu used na kuziuza napenda kufanya hii biashara ila uzoefu ndo sina kuna jamaa alinambia Nairobi zinapatkana...
Kwa wale wenye uzoefu, nina hisa zangu TBL sina uzoefu kwani uwekezaji huo ulifanywa na mzazi miaka hiyo kwaajili yangu.
Sasa nataka niuze hisa hizo je, utaratibu ukoje? Ni hatua gani natakiwa...
TBS tunaomba mumulike bidhaa za kikuu, hazina ubora kabisa.
Kwenye matangazo wanaonyesha picha nzuri na za kuvutia, lakini ukiagiza hiyo bidhaa inakuja tofauti na yenye kiwango hafifu Cha ubora
Wadau nataka kufungua ofisi ya uwakala wa huduma za kifedha za simu. Sasa sijui utaratibu unakuwaje ili kufanikisha jambo langu.
Mwenye ujuzi naomba msaada hapo
Habari wadau!
Kuna ndugu yangu ana pesa ya zamani ya mjerumani maarufu kama rupia, sasa anataka kuuza! Je soko lake liko wapi na huwa zinauzwa kwa bei gani?
Naomba mtaalamu wa mambo hayo...
Wadau;
Mimi ni mmoja kati ya Watanzania wenye hamu kubwa ya maendeleo kiuchumi katika Taifa letu, Nimeskia kuwa Wakoloni wa Kijerumani wakati wanaondoka nchini baada ya kushindwa vita na...
Nilikuwa nahitaji vibali tu vy gari lake (commercial car) ambalo saiv mwenye nalo anatumia kwa shughuli zake binafsi iliniadd kwenye account yangu nitumie gari yangu wakati nasubiri vibali vyangu...
Ripoti ya Mtazamo wa Uchumi wa Dunia iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) imekadiria kuwa, uchumi wa dunia utakua kwa asilimia 5.5 mwaka 2021, ikiwa ni asilimia 0.3...
Habari wakuu,
Hivi kwenye biashara hizi za mitandaoni kama ulilipia fedha mfano nusu ya gharama alafu muuzaji hajakupatia hiyo bidhaa na hata pesa anasumbua kurudisha, ni hatua gani mnunuzi...
Sijawahi kuwaza kwamba itatokea siku moja mfanyabiashara wa kitanzania kuwaza kuwekeza nje ya nchi. Anyway ndivyo ilivyo na itabidi!
Wadau wa biashara ambao pia hua mnakua na updated news za...
Wakuu,
Kwa dhati kabisa niseme pesa zipo nyingi sana kama utafahamu tu namna yakuzipata.
Ngoja nikwambie kitu.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza na kujaribu mbinu tofauti zakuanzisha...
Tafadhali wadu , yoyote mwenye uzoefu WA online shopping Kama kikuu , napenda kujua je ninwakuaminika? Na je wapo Tanzania au nje ya Tanzania.
Na wanaposema free shipping wanamaanisha ni. . je ni...
Samahani Wana JF, nimekuwa na uzoefu kidogo na kuagiza bidhaa China kupitia Kikuu App.
Wana kasoro kadha wa kadha, mfano kuchelewa kufikisha kwa baadhi ya bidhaa, ufinyu huduma kwa wateja...