Mwenye uzoefu na online shopping Kama Kikuu

Kasoleo

New Member
Aug 22, 2019
2
0
Tafadhali wadu , yoyote mwenye uzoefu WA online shopping Kama kikuu , napenda kujua je ninwakuaminika? Na je wapo Tanzania au nje ya Tanzania.
Na wanaposema free shipping wanamaanisha ni. . je ni free shipping Hadi mikoani na bila tax , au ni free shipping Hadi airport au bandalini Tu
 
Hello. Kikuu ni wa kuaminika 100% .

Wanaposema free shipping wanamaanisha mpaka pale mzigo utakapokufukia mikononi . Absolutely hakuna gharama za shipping.

Pia wana ofisi hapa dar es salaam (shopperz plaza - mikocheni kituo cha daladala kisiwani) na kwa mikoani wana mawakala.

Pia mfumo wao wa malipo no rahisi sana. Kuliko mitandao yote nimewaho kutumia

Madhaifu:

Bidhaa zao huwa sio quality sana kama zinavyoonekana kwenye picha.

Customer care yao sio nzuri sana. Mara nyingine ni waongo waongo.

Kama una swali la nyongeza nitakujibu

napenda kujua je ninwakuaminika?
Ndio wanaaminika.
Huduma mbadala ni hii hapa JF: www.bit.ly/101buy4me
Na je wapo Tanzania
Ni huduma iliyopo Tanzania ya manunuzi toka nje.
je ni free shipping Hadi mikoani
Dhana ya free shipping iko hivi
- Chukulia bidhaa inauzwa TZS. 2000, kusafirisha ni TZS. 1300 ambapo jumla ni TZS. 3,300
- Hii bidhaa kibiashara huwa inaandikwa hivi Nunua bidhaa kwa TZS 3,300 na upate FREE shipping

- Ushauri - Ununuapo bidhaa zingatia UBORA WA BIDHAA na MAONI ya walionunua tayari , na kwamwe usitumie kigezo cha FREE shipping katika manunuzi yako,

- Kiuhalisia HAKUNA KITU CHA FREE SHIPPING KATIKA ULIMWENGU WA KIBIASHARA, ni lugha tu ya kibiashara kama mfano wangu ulivyo hapo juu.

free shipping Hadi airport au bandalini Tu
Hadi mahala ulipo kwa mujibu wa ANWANI uliyoandika wakati wa kufanya manunuzi.

Karibu:
BUY4ME www.bit.ly/101buy4me
Chagua bidhaa zako hapa
- aliexpress .com
- Banggood .com
- gearbest .com
- amazon .com
- ebay. com
- arsenaldirect .arsenal .com
1567324803926.png

1567324568357.png
 
Hello. Kikuu ni wa kuaminika 100% .

Wanaposema free shipping wanamaanisha mpaka pale mzigo utakapokufukia mikononi . Absolutely hakuna gharama za shipping.

Pia wana ofisi hapa dar es salaam (shopperz plaza - mikocheni kituo cha daladala kisiwani) na kwa mikoani wana mawakala.

Pia mfumo wao wa malipo no rahisi sana. Kuliko mitandao yote nimewaho kutumia

Madhaifu:

Bidhaa zao huwa sio quality sana kama zinavyoonekana kwenye picha.

Customer care yao sio nzuri sana. Mara nyingine ni waongo waongo.

Kama una swali la nyongeza nitakujibu
Asante Sana, na je hawana physical place for shopping, au ni online pekee?
 
Ni on line pekee, ofjsi yao ipo shoppers plaza ila hawauzi kitu chochote pale, mimi binafsi nimefika wakaniambia bidhaa zao wanauza online tu, ukinunua bidhaa zao unasubiri ndani ya Siku 15
 
Kuna wakati huwa wanachukua hata wiki 3 au 4 kufikisha mzigo, na ikitokea wamewahi wanawahi kweli kweli.
Ni on line pekee, ofjsi yao ipo shoppers plaza ila hawauzi kitu chochote pale, mimi binafsi nimefika wakaniambia bidhaa zao wanauza online tu, ukinunua bidhaa zao unasubiri ndani ya Siku 15
 
Hello guys. Naombeni msaada jinsi ya kuwa contact hawa kikuu. Mimi niko Babati. Nimeutrack mzigo wangu online na uneokana umefika toka jumamosi na mimi nimeupokea. Kiukweli sijaupokea sijui hawa kikuu wamempa nani. Naomba msaad wenu please jinsi ya kuwacontact.
 
Duuh

Nilisha wai. Kuagiza saa sijaipAta mpaka leo, ila zingine waga napata
 
Tafadhali wadu , yoyote mwenye uzoefu WA online shopping Kama kikuu , napenda kujua je ninwakuaminika? Na je wapo Tanzania au nje ya Tanzania.
Na wanaposema free shipping wanamaanisha ni. . je ni free shipping Hadi mikoani na bila tax , au ni free shipping Hadi airport au bandalini Tu
Wana aminika 99%nime agiza Mala nying na nime Pata nacho taka Tena ad niripo kabisa kila seem Ata uku kwetu Kuna office wame fungua kabisa
 
Hello. Kikuu ni wa kuaminika 100% .

Wanaposema free shipping wanamaanisha mpaka pale mzigo utakapokufukia mikononi . Absolutely hakuna gharama za shipping.

Pia wana ofisi hapa dar es salaam (shopperz plaza - mikocheni kituo cha daladala kisiwani) na kwa mikoani wana mawakala.

Pia mfumo wao wa malipo no rahisi sana. Kuliko mitandao yote nimewaho kutumia

Madhaifu:

Bidhaa zao huwa sio quality sana kama zinavyoonekana kwenye picha.

Customer care yao sio nzuri sana. Mara nyingine ni waongo waongo.

Kama una swali la nyongeza nitakujibu
Vp Ali express wanaleta mizigo bongo? Taratibu zao zikoje
 
Ndio, ila pia kuna sellers hawaleti mizigo tanzania.

Binafsi naaganziaga na aliexpress kwa njia ya posta na mzigo unanifikia mpaka huku wilayani kwenye ofisi za posta na mzigo ukifika napigiwa simu.
 
one month na sikuu kaza toka mzigo ununuliwe yaan kwenye estimation ya kudeliver wana error ya siku 15
1686654
 
Back
Top Bottom