Nahitaji vibali tu vya gari (commercial car) kwa ajili ya Uber/Bolt

kipese0306

Member
Feb 10, 2014
40
11
Nilikuwa nahitaji vibali tu vy gari lake (commercial car) ambalo saiv mwenye nalo anatumia kwa shughuli zake binafsi iliniadd kwenye account yangu nitumie gari yangu wakati nasubiri vibali vyangu vikamilike.

Nilikuwa nampa elfu kumi (10,000) kila siku nayofanya kazi,hata mkataba tutaandikishiana. Namba zangu za mawasilisno 0715715385 tunaweza ongea zaidi
 
Account ninayo nachotaka Vibali vya gari ni add kwenye account yangu au kama kuna account ambayo imekamilika sawa. Sema gari nitumie ya kwangu hvyo.0715715385 nicheki tunaweza kuonana tukaongea Coz na ist pia
 
Back
Top Bottom