Je, App ya Kikuu ni bora katika Manunuzi Online?

Je, App ya Kikuu ni bora katika Manunuzi Online?

Ni poa tu mkuu ukinunua kitu unaletewa japo utasubir kwamuda flani mpaka ukipokee. Pia kuwa makini kuna vitu vinavutia kwenye picha kuliko kiuhalisia niliwahi nunua screen magnifier nilipoletew nikakuta matakataka, ila uwa nanunua nguo za watoto na napata hawajawahi kunilet down.
 
mapacha madaktari,

Wamenipiga saa hawa kenge. Niliagiza saa pc 4. Saa moja ikawa mbovu. Nikairudisha pale ili wakanibadirishie au warudishe hela,kuanzia mwezi wa 12 ndio ikaja corona ikawa kisingizio mpaka leo nakaribia kukata tamaa. Nazo saa zingine sio ukubwa nilioutaka.
 
Ni poa tu mkuu ukinunua kitu unaletewa japo utasubir kwamuda flani mpaka ukipokee. Pia kuwa makini kuna vitu vinavutia kwenye picha kuliko kiuhalisia niliwahi nunua screen magnifier nilipoletew nikakuta matakataka, ila uwa nanunua nguo za watoto na napata hawajawah kunilet down.
Kabisa mkuu wameniletea saa tofauti na niliyoitaka ukubwa
 
Screen magnify je huku walalamikia wakuletee nyingine
Sikulalamika kwasababu hata kuisubiri nilikuwa nimeshachoka nikaachana nayo sikuwahi kuitumia niiliipokea niakaifungua nakuitupa juu ya kabati ni takataka ila kwenye picha linavutia balaa
 
one month na sikuu kaza toka mzigo ununuliwe yaan kwenye estimation ya kudeliver wana error ya siku 15
1686654
 
Back
Top Bottom