Dada anasema muda pekee ambao, Familia nyingi za Kiaafrica huwa pamoja ni wakati ambao wanajiandaa na msiba, Ila Hata siku moja Familia haiwezi kukaa pamoja ili kuanzisha biashara au project...
Habari ndugu, jamaa na marafiki katika mihangaiko yangu ya hapa na pale baada ya kusoma mawazo ya wadau humu, nimefanikiwa kufungua Bar nimekuja kwenu ili nipate jina zuri ambalo naweza kulitumia...
Habari wakuu
Nimepata tenda ya kreti za mayai (zaid ya mayai 9,000) kadhaa ya kienyeji nayotakiwa kusafirisha from Arusha to Dar.
1.Kwa jinsi mayai yalivyo fragile nilikua naomba kujua kutoka kwa...
Nafikiria kuanzisha kampuni ya kupandisha wageni mlima kilimanjaro. Kwa sasa ninachojua ni kwamba.
Lazima uwe na kampuni iliyosajiliwa BRELA na TRA.
Sio lazima kuwa na gari. Magari ya kuwachukua...
Jambo wakuu. Nimechukulia usajili wa line za simu kama fursa kwa upande wangu, hivyo naomba mwenye ABC's kuhusu namna ya kuwa wakala wa kusajili line kwa finga- print anifahamishe yafuatayo:
1...
Naombeni ushauri nataka kuacha kazi ya kuajiriwa maana naona wanazingua now nataka niingie kwenye biashara ya kuosha pikipiki na magari.
Jetwasher nzuri na original zinauzwaje iwe used au mpya...
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa...
Nilikuwa na vibiashara vyangu na Connection tamu na nzuri sana kutoka huko Aliexpress, Alibaba na mitandao mingi tu ya China kuhusu bidhaa.
Nilikuwa nishajenga hadi mahusiano ya ukaribu na...
Habari wanazengo,
Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya...
Yaani ukimuandaa mtoto wako saizi unakuta huyo mtoto mpaka afike 25 anaexperience ya kutosha kwenye business kuliko walihitimu vyuo maana anajua ups and downs za business (mfano hai ni watoto wa...
Watoto hufanya kile wanachokipenda ila mtu mzima kabarikiwa uwezo wa kuujua uhalisia, kubuni mipango na kuifata.
Kuna kitu muhimu ambacho hakikwepeki mimi na wewe tunapotumia pesa, si kingine...
Habari za leo Ndugu zanguni.
Natumaini wote wazima kabisa wa afya na buheri. Leo katika mada yetu tungependa kupata wasaa moja mbili kutoka kwa wahusika wa humu walio tayari na experience katika...
Habari wakuu.. Husika na bandiko hapo... Mimi nipo Tanga nahitaji hii pikipiki nifanyie biashara ya bodaboda....iwe full documented.
Mwenye nayo tuwasiliane PM.
Natanguliza shukurani.
Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia...
Amani kwako!
Nataka kufungua account mpya bank, ila naomba nipate ushauri kutoka kwa watu wa profession ya mambo ya banking, kwamba ni benki gani na aina gani ya account nikifungua itakuwa vyema...
A Professor explains MARKETING to MBA students; What's your favorite?
1. You see a gorgeous girl at a party. You go up to her and say “I am very rich. Marry me”.
That’s Direct Marketing.
2. You...
Rai yangu kwa Watumishi wa Umma tunaoishi vijijini hasa maeneo yanayoruhusu shughuli za Kilimo, tujikite katika Kilimo kwa nguvu.
Faida ni nyingi;
1. Uhakika wa chakula
2. Ongezeko la kipato
3...
Habari zenu wana JF! Kwanza nitangulize shukurani zangu za dhati kwenu kwani nimekuwa nikijufunza mambo mbalimbali kutoka kwenu, asanteni sana.
Nipende kwenda moja kwa moja katika mada, mimi ni...