Wakuu salam
Nataka kufanya hii biashara
Naomba mwenye ujuzi tushee
Printer ya aina gani inatumika
Materials
Ujuzi
Na upatikanaji wake
Natanguliza shukran
Nimeatach picha ya sample
Shalom,
Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu.
Pamoja na...
Na wewe huwa unajiuliza swali hili au huwa unaogopa kujiuliza kwasababu unahofia kuona makosa yako?
Ukweli ni kwamba wengi swali hili kulifanyia kazi huwa hatutaki kwasababu tunaona tutajiumiza...
Wakuu habari ni ivi niliagiza mzigo kutoka Ali Express ilikua tarehe 15 ya mwez wa 5 mwaka huu. Sasa ki kawaida mizigo ya standard shipping inakaa mwezi mmoja kisha una upokea posta ya mkoa wako...
Habari wanaJf, straight to the agenda. Baada ya kutafakari mwenendo wa vijana wa Tanzania nimegundua kuwa wengi ni wavivu wa kufikiria na ili ndio linalofanya wengi kujazana Dar badala ya kupanua...
Narudi kwenu wana jukwaa la Biashara, jukwaa lenye watu watashi wa kibiashara.
Nategemea kupata Line zangu za uwakala wa biashara za MPESA, TIGO PESA, AIRTEL mwishoni mwa mwezi huu wa 8...
Hili swala la Wawekezaji kuja na Wafanya kazi wao au watalamu wao naona linafichwa fichwa sana sijajua ni kwa manufaa ya nani.
Hatujui ni watalamu wapi hasa anatakiwa kuja nao au ni yeye anaamua...
Wadau naomba ushauri kwa mwenye uziefu na bihashara hii, nawaza kuanza bihashara ya viatu vya kike vya mtumba nilikuwa na waza kununua baloo la fist grade UK na kuuza rejareja kwenye duka langu na...
Habari ya majukumu wanafamilia wa JF, natumai nyote mpo wazima wa afya na poleni kwa walio wangonjwa.
Nimekuja kuomba msaada wa mawazo ya kibiashara kwa mkoa au jiji lililo changamka katika...
Wapi unaweza pata usaidizi wa mtaji just kwa kuwasilisha unachotaka kukifanya?
Nazungumzia 40,000 mpaka 70,000 maana ndio pesa nayoweza kukopa.
Nina mradi wangu unahitaji pesa.
Industries goods za Tanzania huwa hazipati nafasi Kenya na huwa zinapigwa vita mbaya mno, tofauti na Tanzania ambako zimejaa bidhaa za Viwandani kutoka Kenya.
Nakumbuka bia za TBL zilipigwa vita...
Habari wana JF,
Nyumbani kwetu kijijini kuna shughuli ya usindikaji pombe aina ya gongo ambayo wanakijiji uifanya ili kuwaingizia kipato. Shughuli hii ni ya muda mrefu sana imefanywa toka enzi za...
Habari wapendwa,
Nilikuwa naomba kujua zaidi kuhusu kampuni au watu wanaotoa huduma za usafi majumbani na ofisini. Jinsi ya kuanzisha, uendeshaji wake na changamoto zake.
Husika na kichwa cha habari.
Well nina eneo liko mbele ya barabara ya lami maeneo ya Kijitonyama nataka kufanya pawe kijiwe cha kuuza magari used....about (300 sqm au 350 sqm).
Mwenye gari...
Waungwana Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa, elimu yangu darasa la saba mwaka 1998. Kijijini hukooo Isiman Iringa( v)
Nilikua mzuri Sana class Kijiji kinanijua kwa UBORA wangu sijuagi...
.Just got a chance to see some gems in the market please help me notice which type of green gems is this And what could be the price in the local market
Tanzania ready to start constructing Ug-Tz oil pipeline (independent.co.ug)
Dar es Salaam, Tanzania | THE INDEPENDENT) |
The construction of the $3.5 billion East African Crude Oil Pipeline...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.