Sina hamu na biashara ya uber/taxify

Apr 4, 2019
81
90
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa mkataba wa miaka miwili kwa hesabu ya 175,000/ nikaona sio mbaya itanilipa japo gari yangu ililua bado mpya kabisa haina mwaka toka niagize wala haijawahi kupata ajali.

Basi kijana akaanza kazi kila siku ya marejesho hakosi sababu, mara house girl kaiba pesa zote nani, mara simu yangu haikai na chaji nimeona ninunue nyingi be mara leo traffic walikua wanakamata tax bubu yaani ilimradi tu asinilipe hesabu yangu. Tukaenda wee mpaka mwezi wa 12 mida ya saa tisa usiku napokea sms yake kuwa yupo kituo cha polisi mwananyamala amepatwa na ajali ya kugonga gari la watu aina ya Prado V8. Nilichanganyikiwa baada ya yeye kunitumia picha za gari langu jinsi lilivyokuwa nyang'anyang'a halitaminiki. Kumbuka hapo sina bima comprehensive na mshahara wangu ni lak2 kwa mwezi na wala sikopesheki popote. Basi nikajitahidi wee kwa msaada wa baba chanja nikakomboa gari langu ambapo ilinigharimu tsh 900,000 kulirudisha barabarani.

Baada ya gari kuimarika nikalirudisha kwa road mwezi February mwaka huu. Nikampata kijana mmoja kupitia mtandaoni. Yule kijana alikua mwaminifu sana ikifika siku ya hesabu anatuma pesa bila kumkumbusha nikasema maisha si ndo haya sasa! Tukaenda nae weee ilipofika mwezi wa tatu mwishoni dogo akaanza mizengwe mara nina mgonjwa, mara sijui nini. Wiki mbili hakutuma pesa nikamvumilia tu. Baada ya uzalendo kunishinda nikamwambia arudishe gari lakini kila kukicha alikua ananipa sababu gari hataki kurudisha wala pesa hatumi.

Nikaona isiwe shida gari si ina GPS (car track) basi ijumaa moja nikamwambia baba chanja leo lazima tumfatilie huyu mpaka arudishe gari. Tukamwangalia kwenye GPS tukawa tunamfuata alipo. Tulizunguka karibia masaa mawili mpaka tukampata maeneo ya gymkhana kwa msaada wa GPS. Pale pale nikachukua gari yangu nikaondoka home. (Dereva tulimshusha kwenye gari alikoelekea hatujui).

Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba chanja wako anakauzembe fulani hivi..au alikuacha makusudi upate fundisho
Mama chanja nawewe inaonekana una kamdomo fulani hivi...

Poleni sana ilikuwa gari aina gani?
mbona wengine tunaona wanafanya vizuri tu bila usumbufu na maisha yanaenda safiii..
Mlifanya uzembe kwenye usimamizi
 
Biashara ya magari ni pasua kichwa kweli kweli. Kwa wale waliofanikiwa kwenye hii biashara wanastahili pongezi aisee! Inafikia wakati ukiona tu namba ya dereva, hofu inaanza kukupata kwa kuhisi labda gari imeharibika, kupinduka au kukamatwa na traffic!
 
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa mkataba wa miaka miwili kwa hesabu ya 175,000/ nikaona sio mbaya itanilipa japo gari yangu ililua bado mpya kabisa haina mwaka toka niagize wala haijawahi kupata ajali.

Basi kijana akaanza kazi kila siku ya marejesho hakosi sababu, mara house girl kaiba pesa zote nani, mara simu yangu haikai na chaji nimeona ninunue nyingi be mara leo traffic walikua wanakamata tax bubu yaani ilimradi tu asinilipe hesabu yangu. Tukaenda wee mpaka mwezi wa 12 mida ya saa tisa usiku napokea sms yake kuwa yupo kituo cha polisi mwananyamala amepatwa na ajali ya kugonga gari la watu aina ya Prado V8. Nilichanganyikiwa baada ya yeye kunitumia picha za gari langu jinsi lilivyokuwa nyang'anyang'a halitaminiki. Kumbuka hapo sina bima comprehensive na mshahara wangu ni lak2 kwa mwezi na wala sikopesheki popote. Basi nikajitahidi wee kwa msaada wa baba chanja nikakomboa gari langu ambapo ilinigharimu tsh 900,000 kulirudisha barabarani.

Baada ya gari kuimarika nikalirudisha kwa road mwezi February mwaka huu. Nikampata kijana mmoja kupitia mtandaoni. Yule kijana alikua mwaminifu sana ikifika siku ya hesabu anatuma pesa bila kumkumbusha nikasema maisha si ndo haya sasa! Tukaenda nae weee ilipofika mwezi wa tatu mwishoni dogo akaanza mizengwe mara nina mgonjwa, mara sijui nini. Wiki mbili hakutuma pesa nikamvumilia tu. Baada ya uzalendo kunishinda nikamwambia arudishe gari lakini kila kukicha alikua ananipa sababu gari hataki kurudisha wala pesa hatumi.

Nikaona isiwe shida gari si ina GPS (car track) basi ijumaa moja nikamwambia baba chanja leo lazima tumfatilie huyu mpaka arudishe gari. Tukamwangalia kwenye GPS tukawa tunamfuata alipo. Tulizunguka karibia masaa mawili mpaka tukampata maeneo ya gymkhana kwa msaada wa GPS. Pale pale nikachukua gari yangu nikaondoka home. (Dereva tulimshusha kwenye gari alikoelekea hatujui).

Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu gari yako endesha mwenyewe wewe ndio una uchungu nayo.
 
Afadhali gari hawa bodaboda ndio balaa kabisa unaweza kuzirai. Ila dizain kama unanikatisha tamaa hivi maan nilitaka kukopa hela ninunur gar nimpe afanye uber

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikope kwa lengo la kuanza biashara mpya,lolote laweza tokea,labda km unakopa kwa ajili ya kuendesha biashara ambayo ina mafanikio tyr na ushakua mzoefu na unaweza himili changamoto zake,mfano ushaanza uber na inakulipa so untk ongeza gari ingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali gari hawa bodaboda ndio balaa kabisa unaweza kuzirai. Ila dizain kama unanikatisha tamaa hivi maan nilitaka kukopa hela ninunur gar nimpe afanye uber

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi biz za usafiri unataka kuwa kauzu haswa, mm nilifanya bodaboda na kijana ambaye nilikua namtreat km ndugu ndo akabweteka,wiki 3 haleti hesabu,baada ya kumnyang'anya bdo akawa anaona namuonea cuz tangu mwanzo nilikua soft so akaona ni haki yake kufanya anachofanya since mm nna kazi na hivyo bodaboda siitegemei sana na nipo kwa ajili ya kusaidia yeye (mawazo yake)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa mkataba wa miaka miwili kwa hesabu ya 175,000/ nikaona sio mbaya itanilipa japo gari yangu ililua bado mpya kabisa haina mwaka toka niagize wala haijawahi kupata ajali.

Basi kijana akaanza kazi kila siku ya marejesho hakosi sababu, mara house girl kaiba pesa zote nani, mara simu yangu haikai na chaji nimeona ninunue nyingi be mara leo traffic walikua wanakamata tax bubu yaani ilimradi tu asinilipe hesabu yangu. Tukaenda wee mpaka mwezi wa 12 mida ya saa tisa usiku napokea sms yake kuwa yupo kituo cha polisi mwananyamala amepatwa na ajali ya kugonga gari la watu aina ya Prado V8. Nilichanganyikiwa baada ya yeye kunitumia picha za gari langu jinsi lilivyokuwa nyang'anyang'a halitaminiki. Kumbuka hapo sina bima comprehensive na mshahara wangu ni lak2 kwa mwezi na wala sikopesheki popote. Basi nikajitahidi wee kwa msaada wa baba chanja nikakomboa gari langu ambapo ilinigharimu tsh 900,000 kulirudisha barabarani.

Baada ya gari kuimarika nikalirudisha kwa road mwezi February mwaka huu. Nikampata kijana mmoja kupitia mtandaoni. Yule kijana alikua mwaminifu sana ikifika siku ya hesabu anatuma pesa bila kumkumbusha nikasema maisha si ndo haya sasa! Tukaenda nae weee ilipofika mwezi wa tatu mwishoni dogo akaanza mizengwe mara nina mgonjwa, mara sijui nini. Wiki mbili hakutuma pesa nikamvumilia tu. Baada ya uzalendo kunishinda nikamwambia arudishe gari lakini kila kukicha alikua ananipa sababu gari hataki kurudisha wala pesa hatumi.

Nikaona isiwe shida gari si ina GPS (car track) basi ijumaa moja nikamwambia baba chanja leo lazima tumfatilie huyu mpaka arudishe gari. Tukamwangalia kwenye GPS tukawa tunamfuata alipo. Tulizunguka karibia masaa mawili mpaka tukampata maeneo ya gymkhana kwa msaada wa GPS. Pale pale nikachukua gari yangu nikaondoka home. (Dereva tulimshusha kwenye gari alikoelekea hatujui).

Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida kubwa hapo ni kwamba nyie mnaomiliki biashara yeyote mkakabidhi watu Mara nyingi mnakua mmeajiriwa Sasa kwakawaida biashara yeyote inamuhitaji mmiliki kwa 100% unapo mkabidhi biashara yako mtu mwingine nisawa na kumkabidhi ngedele shamba la mahindi eti kisa umemfuga mwenyewe na amekuahidi hata Kula mahindi... Pooole
 
Watu walioajiriwa biashara nzuri ni real estate na kilimo kama eneo lipo karbu, na ufugaji kdogo, zaidi ya hapo ni bahati tuu, biashara zingine zinahtaji usimamizi wa 90% uwe site , kitu ambacho mwajiriwa hawezi
 
Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wenye magari Dar es salaam, lazima muwe makini sana, kwa sasa Mafundi wanabadilsiha vitu kwenye magari na pia madereva wa Uber au taxify wanauza pia mpaka Mipira na badhi ya spare kwenye magari yenu.
 
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa mkataba wa miaka miwili kwa hesabu ya 175,000/ nikaona sio mbaya itanilipa japo gari yangu ililua bado mpya kabisa haina mwaka toka niagize wala haijawahi kupata ajali.

Basi kijana akaanza kazi kila siku ya marejesho hakosi sababu, mara house girl kaiba pesa zote nani, mara simu yangu haikai na chaji nimeona ninunue nyingi be mara leo traffic walikua wanakamata tax bubu yaani ilimradi tu asinilipe hesabu yangu. Tukaenda wee mpaka mwezi wa 12 mida ya saa tisa usiku napokea sms yake kuwa yupo kituo cha polisi mwananyamala amepatwa na ajali ya kugonga gari la watu aina ya Prado V8. Nilichanganyikiwa baada ya yeye kunitumia picha za gari langu jinsi lilivyokuwa nyang'anyang'a halitaminiki. Kumbuka hapo sina bima comprehensive na mshahara wangu ni lak2 kwa mwezi na wala sikopesheki popote. Basi nikajitahidi wee kwa msaada wa baba chanja nikakomboa gari langu ambapo ilinigharimu tsh 900,000 kulirudisha barabarani.

Baada ya gari kuimarika nikalirudisha kwa road mwezi February mwaka huu. Nikampata kijana mmoja kupitia mtandaoni. Yule kijana alikua mwaminifu sana ikifika siku ya hesabu anatuma pesa bila kumkumbusha nikasema maisha si ndo haya sasa! Tukaenda nae weee ilipofika mwezi wa tatu mwishoni dogo akaanza mizengwe mara nina mgonjwa, mara sijui nini. Wiki mbili hakutuma pesa nikamvumilia tu. Baada ya uzalendo kunishinda nikamwambia arudishe gari lakini kila kukicha alikua ananipa sababu gari hataki kurudisha wala pesa hatumi.

Nikaona isiwe shida gari si ina GPS (car track) basi ijumaa moja nikamwambia baba chanja leo lazima tumfatilie huyu mpaka arudishe gari. Tukamwangalia kwenye GPS tukawa tunamfuata alipo. Tulizunguka karibia masaa mawili mpaka tukampata maeneo ya gymkhana kwa msaada wa GPS. Pale pale nikachukua gari yangu nikaondoka home. (Dereva tulimshusha kwenye gari alikoelekea hatujui).

Kufika home nikagundua gari ina kasoro nyingi tu, taa haziwaki, bodi imekwaruzika, air cleaner imevunjika etc.

Nikasema hii biashara kichaa. Pale pale nikapiga gari picha nikatangaza kuuza. Namshukuru Mungu kesho yake tu nilifanikiwa kuuza gari japo kwa bei ya hasara sana kutokana na gari lilivyokuwa imechakazwa.

Sina hamu kabisa na biashara ya uber tena siku nikipata gari litakua kwa matumizi binafsi na sio nimwachie kijana wa kitanzania kwa ajili ya biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
The best way is to drive for yourself. Baadhi ya vijana wa kitanzania sio watunzaji na zaidi they don't care sababu anajua sio chake, halafu ndio wanalilia kuajiriwa,
 
Shida kubwa hapo ni kwamba nyie mnaomiliki biashara yeyote mkakabidhi watu Mara nyingi mnakua mmeajiriwa Sasa kwakawaida biashara yeyote inamuhitaji mmiliki kwa 100% unapo mkabidhi biashara yako mtu mwingine nisawa na kumkabidhi ngedele shamba la mahindi eti kisa umemfuga mwenyewe na amekuahidi hata Kula mahindi... Pooole
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenchekesha kisenge na huo mfano wako.
 
Shida kubwa hapo ni kwamba nyie mnaomiliki biashara yeyote mkakabidhi watu Mara nyingi mnakua mmeajiriwa Sasa kwakawaida biashara yeyote inamuhitaji mmiliki kwa 100% unapo mkabidhi biashara yako mtu mwingine nisawa na kumkabidhi ngedele shamba la mahindi eti kisa umemfuga mwenyewe na amekuahidi hata Kula mahindi... Pooole
Unataka akishamkabidhi apande nae kwenye gari akae kwenye passenger seat?
 
Kila mtu ana lia kivyake ukikuta wamiliki wa mabanda ya chips nao wanavyo lia na vijana wao wanavyo wapiga sound hela za mauzo balaaa... Ukienda kwa wamiliki wa saloon duuh cha muhimu. N kukomaa tu kula biashara ina changamoto zake
Ahh.Mm kilio changu kilikua hapo kwenyr barbershop hapo
Kwakifupi ni kwamba kwa sisi wenye vibarua vya watu inatuwia ngum sana kufanya biashara maana vibatua vinayu occupy kiasi kwamba ukija shtuka mambo yameharibika
 
Back
Top Bottom